Monday, October 26, 2020

MCGREGOR AMTISHIA NYAU MAYWEATHER

Must Read

Boni Mwaitege amkalisha Mgogo

NA VALERY KIYUNGU KUPITIA shindano la Nani Zaidi linaloendeshwa na redio Passion Fm ya...

Mzuka warudi tena kwa s2kizzy

NA CHRISTOPHER MSEKENA SIKU chache baada ya kuvamiwa na kufanyiwa uharibifu wa studio zake...

The Yeamen waipiga ‘Shoti’

NA JEREMIA ERNEST MSANII kutoka kundi la The Yeamen, Suma Toto, amewaomba mashabiki wa...

LONDON, England


NI wazi upinzani kati ya mabondia Conor McGregor na Floyd Mayweather utaendelea kuwa wa moto, baada ya hivi karibuni mmojawapo kumjibu mwenzake kwa mkwara kama si ovyo.

Ukurasa huo mwingine wa upinzani wao uliongezeka kati yao, baada ya McGregor kumwambia Mayweather kwamba hawatakuwa marafiki hata iweje.

Jibu hilo la McGregor ni baada ya Mayweather kumwalika mpinzani wake huyo kwenye mazoezi ya pamoja kabla Mmarekani huyo hajapanda ulingoni kuzichapa na bondia Khabib Nurmagomedov.

McGregor alitumia mtandao wa kijamii kumjibu Mayweather.

“Sikia dogo, kati yetu hakuna amani na urafiki.”

Wawili hao waliwahi kuzichapa mwaka jana na Mayweather kuibuka na ushindi dhidi ya McGregor ulioongeza rekodi yake ya kucheza mapambano 50 bila kupoteza.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

Boni Mwaitege amkalisha Mgogo

NA VALERY KIYUNGU KUPITIA shindano la Nani Zaidi linaloendeshwa na redio Passion Fm ya...

Mzuka warudi tena kwa s2kizzy

NA CHRISTOPHER MSEKENA SIKU chache baada ya kuvamiwa na kufanyiwa uharibifu wa studio zake za Pluto Republic, prodyuza nyota...

The Yeamen waipiga ‘Shoti’

NA JEREMIA ERNEST MSANII kutoka kundi la The Yeamen, Suma Toto, amewaomba mashabiki wa Bongo Fleva kuendelea kulipa sapoti...

JB Maeba atimiza ndoto zake na Cannibal

NA CHRISTOPHER MSEKENA MSANII wa Afro Pop na Bongo Fleva anayeishi Kenya, James Tesha a.k.a JB Maeba, amesema anafurahi...

‘Certified Lover Boy’ ya Drake yaiva

TORONTO, CANADA RAPA nyota ulimwenguni, Aubrey Graham maarufu kama Drake, ametangaza habari njema ya ujio wa albamu yake ya...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -