Thursday, October 22, 2020

MCHEZAJI GOFU AISHANGAA TGU

Must Read

UKITELEZA KWISHNEI

NA ASHA KIGUNDULAMIAMBA ya soka nchini, Simba na Yanga, leo wana vibarua vigumu vya kusaka pointi zote...

Director Kenny: Harmonize alinipeleka WCB nikafanya video ya Lavalava

MWONGOZAJI bora wa video nchini, Kenned Sanga a.k.a Derector Kenny kutoka Zoom Extra, ametua   hapa Jiachie na...

Rogers mwanamuziki anayevutiwa na Marijani

NA JEREMIA ERNEST BONGO Star Search (BSS), ni shindano lililofanikiwa kuibua vipaji vingi vya...

NA SHARIFA MMASI

MCHEZAJI wa gofu, Amani Said, aliyeshiriki mashiriki mashindano ya Nyali Open yaliyomalizika wiki hii,  jijini  Mombasa,  nchini Kenya, ameshangazwa na Chama cha Gofu Tanzania (TGU), kutokana na kutowapa ushirikiano.

Amani, ambaye ni mchezaji wa Klabu ya Gymkhana ya jijini Dar es Salaam, alisema amekuwa hapati ushirikiano kutoka TGU, kitu ambacho kimesababisha kuiangusha Tanzania katika mashindano hayo.

Alisema kwamba wapinzani wake waliokamata nafasi ya kwanza hadi ya nne katika mashindano hayo, waliwekwa kambi ya muda mrefu nchini Afrika Kusini na walipatiwa mahitaji yote kutoka kwa vyama vyao.

“Moja ya vitu vinavyotuangusha sisi ni ukaribu baina ya viongozi na wachezaji, pamoja na kujitahidi kote kuhakikisha tunacheza kwa juhudi na kushinda bado TGU wapo nyuma kuwaunga mkono wachezaji wao.

Binafsi siridhishwi na utendaji kazi wa viongozi wetu, zamani wachezaji tulikuwa tunawekwa kambi na kupewa huduma nzuri, lakini sijui siku hizi zimeishia wapi,” alisema Amani.

 

Amani alishika nafasi ya 33 katika mashindano ya Nyali.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

UKITELEZA KWISHNEI

NA ASHA KIGUNDULAMIAMBA ya soka nchini, Simba na Yanga, leo wana vibarua vigumu vya kusaka pointi zote...

Director Kenny: Harmonize alinipeleka WCB nikafanya video ya Lavalava

MWONGOZAJI bora wa video nchini, Kenned Sanga a.k.a Derector Kenny kutoka Zoom Extra, ametua   hapa Jiachie na Staa Wako, safu inayokupa nafasi...

Rogers mwanamuziki anayevutiwa na Marijani

NA JEREMIA ERNEST BONGO Star Search (BSS), ni shindano lililofanikiwa kuibua vipaji vingi vya wanamuziki wa Tanzania ambao miongoni...

Ihefu, Azam patachimbika Sokoine, Katwila ndani

NA ASHA KIGUNDULATIMU ya Ihefu inatarajia kushuka uwanjani kucheza na Azam ukiwa ni mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara  (VPL), utakaochezwa leo...

Mugalu atema cheche Simba

NA ASHA KIGUNDULA MSHAMBULIAJI wa Simba, Chris Mugalu, amesema wanakwenda mkoani Rukwa kupambana na kupata ushindi katika mchezo wao...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -