Saturday, October 31, 2020

MCHEZAJI WA MBAO AFARIKI UWANJANI

Must Read

Hamilton avunja rekodi Ureno

LISBON, Ureno STAA wa mbio za magari Lewis Hamilton, amevunja rekodi ya Valtteri...

Ronaldinho naye ana Corona

RIO, Brazil MKONGWE wa Brazil, Ronaldinho, amethibitishwa ana virusi vya corona. Ronaldinho aliandika...

Sterling amlilia kinda wao Man City

MANCHESTER, England WINGA wa Manchester City, Raheem Sterling, ameandika ujumbe wa majonzi baada ya...

NA MWANDISHI WETU


MSHAMBULIAJI wa timu ya vijana ya Mbao, Khalfan Ismail, amefariki dunia,  baada ya kugongana na kuanguka uwanjani katika mchezo wa michuano ya vijana chini ya umri wa miaka 20.

Mchezo huo ulipigwa jana kwenye Uwanja wa Kaitaba mjini Bukoba, mkoani Kagera ambako michuano hiyo inaendelea.

Mchezaji huyo aligongana na beki wa Mwadui wakati wakiwa katika harakati ya kuwania  mpira na kuanguka na juhudi za kuokoa maisha yake zilionekana kugonga mwamba.

Baadaye mchezaji huyo alikimbizwa Hospitali ya Rufaa ya Kagera, lakini wakati tunakwenda mitamboni, taarifa zilizotufikia zilieleza kuwa Ismail alifariki wakiwa uwanjani.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

Hamilton avunja rekodi Ureno

LISBON, Ureno STAA wa mbio za magari Lewis Hamilton, amevunja rekodi ya Valtteri...

Ronaldinho naye ana Corona

RIO, Brazil MKONGWE wa Brazil, Ronaldinho, amethibitishwa ana virusi vya corona. Ronaldinho aliandika ujumbe kupitia ukurasa wake wa...

Sterling amlilia kinda wao Man City

MANCHESTER, England WINGA wa Manchester City, Raheem Sterling, ameandika ujumbe wa majonzi baada ya kinda wa zamani wa timu...

Afua Suleiman afunguka ‘Utalijua Jiji’ ilivyompa ustaa mjini

NA JEREMIA ERNEST JINA alilopewa na wazazi wake ni Afua Suleiman na hata alipojitupa kwenye ulimwengu wa muziki wa...

Keche: Kundi maarufu Ghana linalowatamani Diamond, Kiba, Harmonize

JIACHIE na Staa Wako, wiki hii tumetua mpaka Accra, Ghana kwa kundi maarufu la muziki nchini humo, Keche linofanya vizuri na ngoma...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -