Thursday, October 29, 2020

MECHI SABA KUWABAKIZA WACHEZAJI NAMUNGO FC

Must Read

Hamilton avunja rekodi Ureno

LISBON, Ureno STAA wa mbio za magari Lewis Hamilton, amevunja rekodi ya Valtteri...

Ronaldinho naye ana Corona

RIO, Brazil MKONGWE wa Brazil, Ronaldinho, amethibitishwa ana virusi vya corona. Ronaldinho aliandika...

Sterling amlilia kinda wao Man City

MANCHESTER, England WINGA wa Manchester City, Raheem Sterling, ameandika ujumbe wa majonzi baada ya...

NA ZAINAB IDDY

KOCHA wa timu ya Namungo raia wa Burundi  Hitimana Thiery, amesema michezo miwili  kati saba ya Ligi Kuu Tanzania Bara, itampa mwelekeo wa kikosi chake.

 Namungo walioanza kwa moto wa kuotea mbali  msimu uliopita wa Ligi Kuu Tanzania Bara na  kumaliza nafasi ya nne kutokana na pointi 64, msimu huu, wameanza kwa kusuasua, baada ya kushinda michezo miwili na kupoteza mitatu katika uwanja wa  nyumbani na ugenini.

Akizungumza na BINGWA jana, Thiery  alisema baada ya kucheza michezo  miwili ya mwanzo ya ligi hiyo  na kutuona muunganiko mzuri alikaa na wachezaji wake na kuzungumza nao, huku akitoa michezo mitatu ya kutoa majibu  aina ya kikosi alichonacho.

“Katika mazungumzo yangu na wachezaji niliwaambia michezo saba itatoa taswira ya uwezo wa kila mchezaji na hapo nitaamua akina nani wa kumaliza nao msimu au kuwaondoa kwenye usajili wa dirisha dogo. “Kwa sasa bado kikosi changu hakijatulia kabisa na hii ni kutokana na kuchelewa kuanza mazoezi msimu huu, lakini kama wachezaji ni wazuri mechi tano zingetosha kuleta muunganiko  kwa upande wangu nimetoa michezo saba  kwa kila mchezaji kunishawishi aweze kuendelea kuitumikia Namungo hadi mwisho wa msimu,” alisema Thiery

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

Hamilton avunja rekodi Ureno

LISBON, Ureno STAA wa mbio za magari Lewis Hamilton, amevunja rekodi ya Valtteri...

Ronaldinho naye ana Corona

RIO, Brazil MKONGWE wa Brazil, Ronaldinho, amethibitishwa ana virusi vya corona. Ronaldinho aliandika ujumbe kupitia ukurasa wake wa...

Sterling amlilia kinda wao Man City

MANCHESTER, England WINGA wa Manchester City, Raheem Sterling, ameandika ujumbe wa majonzi baada ya kinda wa zamani wa timu...

Afua Suleiman afunguka ‘Utalijua Jiji’ ilivyompa ustaa mjini

NA JEREMIA ERNEST JINA alilopewa na wazazi wake ni Afua Suleiman na hata alipojitupa kwenye ulimwengu wa muziki wa...

Keche: Kundi maarufu Ghana linalowatamani Diamond, Kiba, Harmonize

JIACHIE na Staa Wako, wiki hii tumetua mpaka Accra, Ghana kwa kundi maarufu la muziki nchini humo, Keche linofanya vizuri na ngoma...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -