Monday, August 10, 2020

Menina aula ubalozi bidhaa za vipodozi

Must Read

Klabu zamiminika kuomba kutumia U/Nelson Mandela

NA ASHA KIGUNDULA UONGOZI wa Chama cha Soka Mkoa wa Rukwa (RUREFA), umesema umeanza...

Kipa mpya Azam atamba kumsaulisha Abarola

NA ZAINAB IDDY KIPA mpya wa Azam, David Kissu, ameuahidi uongozi na mashabiki wa...

Yanga: Hatuna mpango na wasugua benchi Msimbazi

NA ZAINAB IDDY UONGOZI wa Yanga, umesema hauna mpango wa kusajili wachezaji wanasugua benchi...

BEATRICE KAIZA

Staa wa filamu na Bongo Fleva nchini, Menina Abdulkarim amekula dili nono la kuwa balozi wa bidhaa za vipodozi za kampuni ya wix sole Distribution worldwide.

Akizungumza na waandishi wa habari Menina amesema kuwa bidhaa hizo ni bora na kwamba kalba ya kukubali kuwa balozi alizitumia kwanza ili kujua ni nini mashabiki zake wanaweza kupata na baada ya kupata matokeo mazuri ndipo alipokubali kuwa balozi wa bidhaa hiyo.

“Ubalozi wangu ni wa mwaka mmoja, bidhaa za ‘Wix sole Distribution worldwide’ zimesibitishwa na TBS na mimi pia nimetumia hadi sasa ndio natumia nilikuwa napata maswali mengi kwa mashabiki zangu kuwa ni bidhaa gani natumia hadi kupata ngozi laini na yenye virutubisho,” amesema Menina.

Mkurugenzi wa Kampeni hivyo, Direct Joan  amesema kuwa wameamua kumchukua kumfanya Menina kuwa balozi wao kwa kuwa ni moja ya wasichana wenye ngozi nzuri na mwenye ushawishi wa mtu kununua bidhaa yoyote hasa zisizo na kemikali ambazo watu wa rika zote wanaweza kutumia kwa bei kuanzia Sh. 10,000 hadi Sh. 60,000 ikiwemo sabuni na mafuta ya kupaka.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

Klabu zamiminika kuomba kutumia U/Nelson Mandela

NA ASHA KIGUNDULA UONGOZI wa Chama cha Soka Mkoa wa Rukwa (RUREFA), umesema umeanza...

Kipa mpya Azam atamba kumsaulisha Abarola

NA ZAINAB IDDY KIPA mpya wa Azam, David Kissu, ameuahidi uongozi na mashabiki wa timu hiyo kuwa atajituma na...

Yanga: Hatuna mpango na wasugua benchi Msimbazi

NA ZAINAB IDDY UONGOZI wa Yanga, umesema hauna mpango wa kusajili wachezaji wanasugua benchi katika klabu ya Simba kwa...

TSHISHIMBI KUMFUATA MORRISON SIMBA

NA ZAINAB IDDY KIUNGO wa Yanga, raia wa DR Congo, Papy Tshishimbi, anatarajiwa kumfuata winga wa kikosi hicho, Bernard...

TSHISHIMBI KUMFUATA MORRISON SIMBA

NA ZAINAB IDDY KIUNGO wa Yanga, raia wa DR Congo, Papy Tshishimbi, anatarajiwa kumfuata winga wa kikosi hicho, Bernard...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -