Tuesday, December 1, 2020

Mercy Johnson kuanika historia ya maisha yake

Must Read

HUJUMA NZITO YANGA

NA WINFRIDA MTOI UONGOZI wa Yanga upo katika harakati za kuhamishia mechi zao zilizobaki...

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika...

LAGOS, Nigeria

STAA wa filamu na maigizo, Mercy Johnson Okojie, amesema kwamba yupo mbioni kuandaa kipindi cha televisheni ambacho kitakuwa kikizungumzia historia ya maisha yake.

Kinara huyo katika Kijiji cha Nollywood ambaye amewahi kutamba na filamu nyingi kali zikiwamo za The Maid (2004), Sweet Mama (2006), Wealth Aside (2007), The Scorpion God (2010) na 30 Days in Atlanta aliyasema hayo katika mahojiano na mtandao wa NAIJ.COM huku akiwataka  mamilioni ya mashabiki wake kukaa mkao wa kula.

“Nakukaribisha ujionee kipindi changu kijacho cha kusisimua ambacho kitaanza na historia ya maisha yangu,” alisema staa huyo.

“Kipindi hicho kitaanza kurushwa Desemba mwaka huu. Ni maalumu kwa wenye ndoa changa kama yangu, ambao hawajaoa ama kuolewa na vijana,” aliongeza staa huyo mtata.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

HUJUMA NZITO YANGA

NA WINFRIDA MTOI UONGOZI wa Yanga upo katika harakati za kuhamishia mechi zao zilizobaki...

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul 'Ben Pol' ameshukuru mashabiki kwa...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania...

DEWJI: CHAMA NI SIMBA HADI 2022

Kiungo huyo raia wa Zambia, aliyetoa mchangomkubwakwaSimbakufikisharobo fainaliyaLigiyaMabingwaAfrikamsimuwa 2018/19, ikiwamo kutwaa ubingwa wa LigiKuuTanzaniaBarakwa misimumitatu mfululizo, awali ilidaiwa alikuwa yupo katika hatuayamwishoyakujiunganaYanga.

Sven aruka kihunzi

NA ASHA KIGUNDULA KOCHA Mkuu wa Simba, Sven Vandenbroeck, ameruka kihunzi na kuwaachia msala nyota wake, Clatous Chama na...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -