Sunday, November 1, 2020

MESSI SASA KWA MATAJI BARCA HAKAMATIKI

Must Read

Hamilton avunja rekodi Ureno

LISBON, Ureno STAA wa mbio za magari Lewis Hamilton, amevunja rekodi ya Valtteri...

Ronaldinho naye ana Corona

RIO, Brazil MKONGWE wa Brazil, Ronaldinho, amethibitishwa ana virusi vya corona. Ronaldinho aliandika...

Sterling amlilia kinda wao Man City

MANCHESTER, England WINGA wa Manchester City, Raheem Sterling, ameandika ujumbe wa majonzi baada ya...

MADRID, Hispania

STRAIKA Lionel Messi, kwa sasa hakamatiki kwa kubeba mataji akiwa na timu ya  Barcelona, baada ya juzi kuongeza jingine la Supercopa de Espana, ambalo limemfanya afikishe 33 akiwa na mabingwa hao wa La Liga.

Nahodha huyo mpya na ambaye ni mshindi  mara tano wa tuzo ya mchezaji bora wa dunia, Ballon d’Or, alifikisha idadi hiyo baada ya kuiwezesha timu hiyo kuondoka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya  Sevilla 2-1 katika mchezo huo ambao ulipigwa mjini  Tangier.

Kwa kufikisha idadi hiyo, Messi atakuwa amempita nahodha wake wa zamani,  Andres Iniesta, ambaye amekabidhiwa mikoba yake, baada ya kuhamia katika timu inayoshiriki Ligi Kuu ya Japan, Vissel Kobe kwa kufanikiwa kunyakua mataji mengi akiwa kwenye kabu hiyo ya Camp Nou.

Katika mataji hayo, staa huyo mwenye umri wa miaka 31, tisa ni ya  La Liga, manne ni ya Ligi ya Mabingwa Ulaya, sita ya Copas del Rey, nane ni ya  Supercopas, matatu ni ya  UEFA Super Cup na moja ni la Kombe la Dunia kwa klabu.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

Hamilton avunja rekodi Ureno

LISBON, Ureno STAA wa mbio za magari Lewis Hamilton, amevunja rekodi ya Valtteri...

Ronaldinho naye ana Corona

RIO, Brazil MKONGWE wa Brazil, Ronaldinho, amethibitishwa ana virusi vya corona. Ronaldinho aliandika ujumbe kupitia ukurasa wake wa...

Sterling amlilia kinda wao Man City

MANCHESTER, England WINGA wa Manchester City, Raheem Sterling, ameandika ujumbe wa majonzi baada ya kinda wa zamani wa timu...

Afua Suleiman afunguka ‘Utalijua Jiji’ ilivyompa ustaa mjini

NA JEREMIA ERNEST JINA alilopewa na wazazi wake ni Afua Suleiman na hata alipojitupa kwenye ulimwengu wa muziki wa...

Keche: Kundi maarufu Ghana linalowatamani Diamond, Kiba, Harmonize

JIACHIE na Staa Wako, wiki hii tumetua mpaka Accra, Ghana kwa kundi maarufu la muziki nchini humo, Keche linofanya vizuri na ngoma...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -