Sunday, November 29, 2020

MEXIME: SITAIONEA HURUMA JKT RUVU

Must Read

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika...

DEWJI: CHAMA NI SIMBA HADI 2022

Kiungo huyo raia wa Zambia, aliyetoa mchangomkubwakwaSimbakufikisharobo fainaliyaLigiyaMabingwaAfrikamsimuwa 2018/19, ikiwamo kutwaa ubingwa wa LigiKuuTanzaniaBarakwa misimumitatu mfululizo, awali...

NA ZAINAB IDDY

KOCHA Mkuu wa Kagera Sugar, Mecky Mexime, amesema anaiandalia kipigo JKT Ruvu baada ya kufanikiwa kuifunga Simba katika mechi ya Ligi Kuu Tanzania Bara.

Kagera Sugar inayoshika nafasi ya tatu kutokana na pointi 45, itaikaribisha JKT Ruvu keshokutwa kwenye Uwanja wa Kaitaba mjini Bukoba, inayoshika mkia kwa pointi 21 baada ya kucheza michezo 25.

Akizungumza na BINGWA jana, Mexime alisema hataionea huruma JKT Ruvu kwani malengo yake ni kuendelea kugawa dozi kwa kila timu watakayokutana nayo katika mechi zilizosalia za ligi hiyo.

Mexime alisema malengo yake ni kumaliza katika nafasi tatu za juu katika msimamo wa ligi hiyo.

“Hatuna msamaha kwa timu yoyote tutakayokutana nayo, hivyo JKT wafahamu kuwa wanakuja kwetu, lakini kuna kipigo na kama tutawaonea huruma sana tutawafunga mabao kama yale waliyofungwa Simba wiki iliyopita.

“Lengo letu ni kuhakikisha tunamaliza nafasi ya tatu ambayo tupo hivi sasa ili tuendelee kuishikilia tuhakikishe hatupotezi mchezo wowote ule,” alisema.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania...

DEWJI: CHAMA NI SIMBA HADI 2022

Kiungo huyo raia wa Zambia, aliyetoa mchangomkubwakwaSimbakufikisharobo fainaliyaLigiyaMabingwaAfrikamsimuwa 2018/19, ikiwamo kutwaa ubingwa wa LigiKuuTanzaniaBarakwa misimumitatu mfululizo, awali ilidaiwa alikuwa yupo katika hatuayamwishoyakujiunganaYanga.

Sven aruka kihunzi

NA ASHA KIGUNDULA KOCHA Mkuu wa Simba, Sven Vandenbroeck, ameruka kihunzi na kuwaachia msala nyota wake, Clatous Chama na...

Sarpong ‘aua’ shabiki Simba

Na MWANDISHI WETU, MWANZA BAO la dakika ya 29 lililofungwa na Michael Sarpong wa Yanga juzi, limesababisha kifo cha...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -