Thursday, November 26, 2020

Mexime: Sitaongeza mchezaji dirisha dogo.

Must Read

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika...

DEWJI: CHAMA NI SIMBA HADI 2022

Kiungo huyo raia wa Zambia, aliyetoa mchangomkubwakwaSimbakufikisharobo fainaliyaLigiyaMabingwaAfrikamsimuwa 2018/19, ikiwamo kutwaa ubingwa wa LigiKuuTanzaniaBarakwa misimumitatu mfululizo, awali...

NA WINFRIDA MTOI

LICHA ya kufungwa mabao 2-0 na Simba katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara uliochezwa juzi kwenye Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam, Kocha wa Kagera Sugar, Mecky Mexime, amesema  haongeza mchezaji katika kipindi kinachokuja cha dirisha dogo la usajili.

Akizungumza na BINGWA Dar es Salaam juzi, Mexime alisema kikosi cha kimetimia kila idara ikiwamo safu ya ushambuliaji.

 Mexime alisema ameona maendeleo  mazuri katika kikosi chake na anahitaji  kufanyia kazi vitu vichache wakati wa mapumziko wa ligi hiyo.

Kocha huyo alisema changamoto iliyopo ni kukosa muendelezo wa ushindi, akiamini hali hiyo inachangiwa na ugumu wa ligi hiyo  kwa sababu kila timu imejipanga.

“Kikosi changu si kibaya ni kizuri kinanitosheleza, jambo la kukosa ushindi ni kawaida hata ukiwa na wachezaji wazuri, mfano Chelsea imefanya usajili mzuri  lakini inafungwa Ligi Kuu England.

“Kikubwa kinachotuhukumu ni matokeo, tunatakiwa kutulia kwa sababu ligi bado ndefu, katika mchezo wa Simba tumefanya makosa tumefungwa, kuna siku timu inacheza vizuri, siku nyingine vibaya mpira upo hivyo,” alisema Mexime.

 Alisema hawezi kukata tamaa mapema kwa kuwa anafahamu changamoto cha soka, kinachotakiwa ni kupambana kuhakikisha timu yake inacheza kama anavyotaka.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania...

DEWJI: CHAMA NI SIMBA HADI 2022

Kiungo huyo raia wa Zambia, aliyetoa mchangomkubwakwaSimbakufikisharobo fainaliyaLigiyaMabingwaAfrikamsimuwa 2018/19, ikiwamo kutwaa ubingwa wa LigiKuuTanzaniaBarakwa misimumitatu mfululizo, awali ilidaiwa alikuwa yupo katika hatuayamwishoyakujiunganaYanga.

Sven aruka kihunzi

NA ASHA KIGUNDULA KOCHA Mkuu wa Simba, Sven Vandenbroeck, ameruka kihunzi na kuwaachia msala nyota wake, Clatous Chama na...

Sarpong ‘aua’ shabiki Simba

Na MWANDISHI WETU, MWANZA BAO la dakika ya 29 lililofungwa na Michael Sarpong wa Yanga juzi, limesababisha kifo cha...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -