Friday, December 4, 2020

Mexime: Sitashangaa kutimuliwa Kagara

Must Read

HUJUMA NZITO YANGA

NA WINFRIDA MTOI UONGOZI wa Yanga upo katika harakati za kuhamishia mechi zao zilizobaki...

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika...

NA ZAINAB IDDY

BAADA ya Kagera Sugar kufungwa mabao 2-1 katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara dhidi ya Mbeya City uliochezwa juzi kwenye Uwanja wa Kaitaba, mjini Bukoba, kocha wa kikosi hicho, Mecky  Mexime, amesema  hatashangaa kupoteza kibarua chake.

 Tayari Kagera Sugar  wamecheza michezo nane, wakishinda mmoja, sare mbili na kupoteza mitano, huku wakishika nafasi ya 14 kati ya timu 18 zinazoshiriki ligi hiyo kutokana na pointi tano.

Akizungumza na BINGWA kwa simu kutoka mkoani Kagera jana, Mexime alisema hakuna uongozi  wa klabu utakaopenda kuwa na kocha anayekosesha  timu pointi tatu kwa kipindi kirefu.

“Kiuhalisia hakuna bosi atakayefanya kazi na kocha wakati timu haipati ushindi, hivyo hata mimi matokeo haya yanahatarisha kibarua changu na sitoshangaa muda wowote nikisikia nimefukuzwa.

“Naona mifano katika timu nyingine ndani na nje ya ligi, hivyo ni vigumu pia kwangu kuendelea kuvumilia, binafsi nitajitahidi kutafuta namna ya kuipa alama tatu,  lakini ikitokea nimefukuzwa sitolaumu kwa sababu hali halisi inaonekana,” alisema Mexime.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

HUJUMA NZITO YANGA

NA WINFRIDA MTOI UONGOZI wa Yanga upo katika harakati za kuhamishia mechi zao zilizobaki...

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul 'Ben Pol' ameshukuru mashabiki kwa...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania...

DEWJI: CHAMA NI SIMBA HADI 2022

Kiungo huyo raia wa Zambia, aliyetoa mchangomkubwakwaSimbakufikisharobo fainaliyaLigiyaMabingwaAfrikamsimuwa 2018/19, ikiwamo kutwaa ubingwa wa LigiKuuTanzaniaBarakwa misimumitatu mfululizo, awali ilidaiwa alikuwa yupo katika hatuayamwishoyakujiunganaYanga.

Sven aruka kihunzi

NA ASHA KIGUNDULA KOCHA Mkuu wa Simba, Sven Vandenbroeck, ameruka kihunzi na kuwaachia msala nyota wake, Clatous Chama na...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -