Friday, October 30, 2020

Mfaume kuzichapa na Mhungary

Must Read

Hamilton avunja rekodi Ureno

LISBON, Ureno STAA wa mbio za magari Lewis Hamilton, amevunja rekodi ya Valtteri...

Ronaldinho naye ana Corona

RIO, Brazil MKONGWE wa Brazil, Ronaldinho, amethibitishwa ana virusi vya corona. Ronaldinho aliandika...

Sterling amlilia kinda wao Man City

MANCHESTER, England WINGA wa Manchester City, Raheem Sterling, ameandika ujumbe wa majonzi baada ya...

NA WINFRIDA NGONYANI

BONDIA, Mfaume Mfaume, atazichapa na bondia kutoka Hungary, Gabbo Verto, katika pambano la raundi nane uzito wa kg 63.5 litakalochezwa nchini Switzerland, Oktoba mosi mwaka huu.

Rais wa Oganaizesheni ya Ngumi za Kulipwa nchini (TPBO), Yassin Abdalah ‘Ustaadhi’, aliliambia BINGWA jana kuwa mipango yote na maandalizi ya safari kwa bondia Mfaume imekamilika.

“Kila kitu kipo sawa na wakati wowote kuanzia sasa Mfaume ataondoka nchini, kwani mipango yote imekamilika ikiwa ni pamoja na kufanikiwa kupata ruhusa kutoka kwa ubalozi wa Switzerland uliopo nchini,” alisema.

Ustaadhi alisema maandalizi ya pambano la bondia, Said Mbelwa, anayetarajia kupanda ulingoni mjini Windhoek, Namibia, Novemba 18 mwaka huu, yanaendelea vizuri.

“Pambano litakalomkutanisha Mbelwa na bondia, Harry Simon, kugombea ubingwa wa WBU wa dunia, tayari TPBO tumeshapata kibali cha kuruhusu pambano hilo kutoka chama hicho,” aliongeza.

Ustaadhi aliwataka mabondia wa kulipwa nchini kuendelea kujiandaa na mapambano mbalimbali ya kimataifa na kuongeza kuwa TPBO lina mahusiano mazuri na mashirikisho ya nje ya nchi.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

Hamilton avunja rekodi Ureno

LISBON, Ureno STAA wa mbio za magari Lewis Hamilton, amevunja rekodi ya Valtteri...

Ronaldinho naye ana Corona

RIO, Brazil MKONGWE wa Brazil, Ronaldinho, amethibitishwa ana virusi vya corona. Ronaldinho aliandika ujumbe kupitia ukurasa wake wa...

Sterling amlilia kinda wao Man City

MANCHESTER, England WINGA wa Manchester City, Raheem Sterling, ameandika ujumbe wa majonzi baada ya kinda wa zamani wa timu...

Afua Suleiman afunguka ‘Utalijua Jiji’ ilivyompa ustaa mjini

NA JEREMIA ERNEST JINA alilopewa na wazazi wake ni Afua Suleiman na hata alipojitupa kwenye ulimwengu wa muziki wa...

Keche: Kundi maarufu Ghana linalowatamani Diamond, Kiba, Harmonize

JIACHIE na Staa Wako, wiki hii tumetua mpaka Accra, Ghana kwa kundi maarufu la muziki nchini humo, Keche linofanya vizuri na ngoma...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -