Friday, November 27, 2020

MFUNGAJI MABAO KAGERA AWATISHA AKINA TAMBWE

Must Read

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika...

DEWJI: CHAMA NI SIMBA HADI 2022

Kiungo huyo raia wa Zambia, aliyetoa mchangomkubwakwaSimbakufikisharobo fainaliyaLigiyaMabingwaAfrikamsimuwa 2018/19, ikiwamo kutwaa ubingwa wa LigiKuuTanzaniaBarakwa misimumitatu mfululizo, awali...

NA ESTHER GEORGE

STRAIKA wa Kagera Sugar, Mbaraka Yusuph, amesema ataendelea kutupia Ligi Kuu Tanzania Bara ili kuiwezesha timu yake kushika nafasi ya juu katika msimamo wa ligi hiyo na yeye kuchukua kiatu cha dhahabu.

Mbaraka ambaye amefunga mabao nane huku Shiza Ramadhan Kichuya wa Simba, Simon Msuva na Amis Tambwe wa Yanga wakiongoza baada ya kufunga mabao tisa kila mmoja.

Akizungumza na BINGWA jana, Mbaraka alisema malengo yake ni kuhakikisha anaisaidia timu yake kuendelea kufanya vizuri kwenye ligi hiyo.

“Maandalizi yanaendelea kwa mechi zinazofuata, nahitaji kufunga mabao zaidi ya 15, uwezo ninao na ninaimani nitatimiza,” alisema Mbaraka.

Alisema kutokana na maandalizi waliyofanya msimu huu, anaimani anaweza kufanya mambo makubwa katika kikosi hicho.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania...

DEWJI: CHAMA NI SIMBA HADI 2022

Kiungo huyo raia wa Zambia, aliyetoa mchangomkubwakwaSimbakufikisharobo fainaliyaLigiyaMabingwaAfrikamsimuwa 2018/19, ikiwamo kutwaa ubingwa wa LigiKuuTanzaniaBarakwa misimumitatu mfululizo, awali ilidaiwa alikuwa yupo katika hatuayamwishoyakujiunganaYanga.

Sven aruka kihunzi

NA ASHA KIGUNDULA KOCHA Mkuu wa Simba, Sven Vandenbroeck, ameruka kihunzi na kuwaachia msala nyota wake, Clatous Chama na...

Sarpong ‘aua’ shabiki Simba

Na MWANDISHI WETU, MWANZA BAO la dakika ya 29 lililofungwa na Michael Sarpong wa Yanga juzi, limesababisha kifo cha...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -