Thursday, December 3, 2020

MIAMBA 28 ITAKAYO JASHO RBA HII HAPA

Must Read

HUJUMA NZITO YANGA

NA WINFRIDA MTOI UONGOZI wa Yanga upo katika harakati za kuhamishia mechi zao zilizobaki...

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika...

NA ZAINAB IDDY

CHAMA cha Mpira wa Kikapu Dar es Slaam (BD), kimetaja majina ya timu 16 za mchezo huo zitakazoshiriki ligi ya mkoa huo maarufu kama RBA, ambayo imepangwa kuanza Januari 28 kwenye Uwanja wa Ndani wa Taifa, Dar es Salaam.

Timu hizo kwa upande wa wanaume ni  JKT, Mgulani, Ukonga Kings, Magereza, Savio, Pazi, DB Youngstars, Magnet, ABC, Mabibo Bullets, Outsiders, Kurasini heat, Oilers, Vijana, Chui na Jogoo.

Kwa upande wa wanawake ni  JKT Stars, Jeshi Stars, Vijana Queens, Don Bosco Lioness, Ukonga Queens, Kurasini Divas na Oilers Princess.

Mwenyekiti wa BD, Okare Emesu, ameliambia BINGWA kuwa timu hizo zimepata nafasi ya kushiriki baada ya  kutimiza vigezo na masharti yaliyowekwa.

Alisema katika mashindano hayo mechi  zitachezwa kwa mfumo wa nyumbani na ugenini katika hatua za awali, ambapo  timu nane za juu za wanaume zitacheza mtoano hadi kupata bingwa.

“Mwaka huu wanatarajia kuona ligi yenye msisimko kutokana na ongezeko la timu shiriki, huku kila moja ikionyesha kujiandaa ili kuonyesha upinzani.

“Mbali na msisimko tunaotarajia lakini pia uongozi unakuja na mikakati ili kuleta chachu, kwani kutakuwa na ligi ya watoto chini ya umri wa miaka 14, ligi ya daraja la kwanza, ligi ya vyuo, ligi ya mashirika, ligi ya shule pamoja na programu maalumu kwa ajili ya kukuza vipaji kwa mpira wa kikapu nchini,” alisema Emesu.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

HUJUMA NZITO YANGA

NA WINFRIDA MTOI UONGOZI wa Yanga upo katika harakati za kuhamishia mechi zao zilizobaki...

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul 'Ben Pol' ameshukuru mashabiki kwa...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania...

DEWJI: CHAMA NI SIMBA HADI 2022

Kiungo huyo raia wa Zambia, aliyetoa mchangomkubwakwaSimbakufikisharobo fainaliyaLigiyaMabingwaAfrikamsimuwa 2018/19, ikiwamo kutwaa ubingwa wa LigiKuuTanzaniaBarakwa misimumitatu mfululizo, awali ilidaiwa alikuwa yupo katika hatuayamwishoyakujiunganaYanga.

Sven aruka kihunzi

NA ASHA KIGUNDULA KOCHA Mkuu wa Simba, Sven Vandenbroeck, ameruka kihunzi na kuwaachia msala nyota wake, Clatous Chama na...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -