Wednesday, October 21, 2020

MICHUANO YA KRIKETI KUANZA LEO

Must Read

Director Kenny: Harmonize alinipeleka WCB nikafanya video ya Lavalava

MWONGOZAJI bora wa video nchini, Kenned Sanga a.k.a Derector Kenny kutoka Zoom Extra, ametua   hapa Jiachie na...

Rogers mwanamuziki anayevutiwa na Marijani

NA JEREMIA ERNEST BONGO Star Search (BSS), ni shindano lililofanikiwa kuibua vipaji vingi vya...

Ihefu, Azam patachimbika Sokoine, Katwila ndani

NA ASHA KIGUNDULATIMU ya Ihefu inatarajia kushuka uwanjani kucheza na Azam ukiwa ni mchezo wa Ligi Kuu...

NA GLORY MLAY


MICHUANO ya kriketi ya mikoa kwa wasichana yanatarajiwa kuanza kutimua vumbi leo hadi Septemba 15 mwaka huu, katika Uwanja wa  Usagara, mkoani Tanga.

Michuano hiyo inatarajiwa kushirikisha timu kutoka mikoa mbalimbali, ukiwamo Arusha, Mwanza, Morogoro, Dar es Salaam na wenyeji Tanga.

Akizungumza na BINGWA jana, Mratibu wa Chama cha Kriketi Tanzania (TCA), Abdallah Khamis, alisema kila mwaka huwa wanaandaa michuano hiyo kwa lengo la kuwapa nafasi wale wachezaji chipukizi kuonyeza viwango vyao.

“Kila siku tunataka kupata vipaji vipya na ukiangalia havipatikani Dar es Salaam peke yake, vipo vipaji vingi mikoani ambayo vinahitaji sapoti,” alisema.

Khamisi aliwataka wadau kujitokeza kuzisapoti timu za mikoani kwa ajili ya kupata timu bora za vijana zitakazoshiriki michuano mbalimbali ndani na nje ya nchi.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

Director Kenny: Harmonize alinipeleka WCB nikafanya video ya Lavalava

MWONGOZAJI bora wa video nchini, Kenned Sanga a.k.a Derector Kenny kutoka Zoom Extra, ametua   hapa Jiachie na...

Rogers mwanamuziki anayevutiwa na Marijani

NA JEREMIA ERNEST BONGO Star Search (BSS), ni shindano lililofanikiwa kuibua vipaji vingi vya wanamuziki wa Tanzania ambao miongoni...

Ihefu, Azam patachimbika Sokoine, Katwila ndani

NA ASHA KIGUNDULATIMU ya Ihefu inatarajia kushuka uwanjani kucheza na Azam ukiwa ni mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara  (VPL), utakaochezwa leo...

Mugalu atema cheche Simba

NA ASHA KIGUNDULA MSHAMBULIAJI wa Simba, Chris Mugalu, amesema wanakwenda mkoani Rukwa kupambana na kupata ushindi katika mchezo wao...

Malale aitisha Yanga

NA ZAINAB IDDY KOCHA Mkuu wa timu ya Polisi Tanzania, Malale Hamsini, amezisikia sifa za kocha mpya wa Yanga,...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -