Saturday, November 28, 2020

MIDDLESBROUGH WAMTIMUA KARANKA

Must Read

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika...

DEWJI: CHAMA NI SIMBA HADI 2022

Kiungo huyo raia wa Zambia, aliyetoa mchangomkubwakwaSimbakufikisharobo fainaliyaLigiyaMabingwaAfrikamsimuwa 2018/19, ikiwamo kutwaa ubingwa wa LigiKuuTanzaniaBarakwa misimumitatu mfululizo, awali...

LONDON, England

Aitor Karanka amefukuzwa kwenye klabu ya Middlesbrough.

Kocha huyo wa klabu ya Teesside, inayoshika nafasi ya pili kutoka chini ya msimamo wa Ligi Kuu England, hawajashinda mechi hata moja tangu kuanza kwa mwaka huu 2017, ameondoka kwenye klabu hiyo kabla ya kukutana na Manchester United, Jumapili hii.

Mtandao wa Sky Sports umegundua mpango wa klabu hiyo ulikuwa kumwachia Karanka mechi hiyo ya United kama kipimo cha mwisho, lakini Mwenyekiti, Steve Gibson, aliamua kuchukua uamuzi huo wa kumtimua.

Karanka anadaiwa kuhusika kwenye ugomvi na kiungo Stewart Downing wiki iliyopita, wakati wa mazoezi, pia kocha huyo aliyeipandisha timu hiyo Ligi Kuu msimu uliopita alidaiwa kuikosoa klabu hiyo hadharani pamoja na mashabiki

Januari mwaka huu. Kocha huyo mwenye umri wa miaka 43 alichukia kitendo cha klabu hiyo kushindwa kufanya usajili wakati wa dirisha dogo, pamoja na kuwashutumu kwa kusababisha wachezaji wake kucheza mipira mirefu wakati wa mchezo dhidi ya West Ham.

Boro wameshinda mechi nne pekee msimu huu, moja ya ushindi wao mkubwa ni mabao 3-0 dhidi ya Swansea, ambao ulikuwa Desemba, mwaka jana, pia wameichapa Hull, Bournemouth na Sunderland na kupoteza mechi 13 kati ya 22 walizocheza.

Katika maelezo yaliyotolewa na klabu, Karanka alisema: “Napenda kuishukuru Middlesbrough kwa kunipa nafasi hiyo kubwa, pia nawashukuru wachezaji, wafanyakazi na watu wote kwenye klabu hiyo. Pia napenda kuwashukuru mashabiki kwa kuniunga mkono.”

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania...

DEWJI: CHAMA NI SIMBA HADI 2022

Kiungo huyo raia wa Zambia, aliyetoa mchangomkubwakwaSimbakufikisharobo fainaliyaLigiyaMabingwaAfrikamsimuwa 2018/19, ikiwamo kutwaa ubingwa wa LigiKuuTanzaniaBarakwa misimumitatu mfululizo, awali ilidaiwa alikuwa yupo katika hatuayamwishoyakujiunganaYanga.

Sven aruka kihunzi

NA ASHA KIGUNDULA KOCHA Mkuu wa Simba, Sven Vandenbroeck, ameruka kihunzi na kuwaachia msala nyota wake, Clatous Chama na...

Sarpong ‘aua’ shabiki Simba

Na MWANDISHI WETU, MWANZA BAO la dakika ya 29 lililofungwa na Michael Sarpong wa Yanga juzi, limesababisha kifo cha...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -