Wednesday, October 28, 2020

MKE WA MARTIAL NAYE APATA AJALI

Must Read

Hamilton avunja rekodi Ureno

LISBON, Ureno STAA wa mbio za magari Lewis Hamilton, amevunja rekodi ya Valtteri...

Ronaldinho naye ana Corona

RIO, Brazil MKONGWE wa Brazil, Ronaldinho, amethibitishwa ana virusi vya corona. Ronaldinho aliandika...

Sterling amlilia kinda wao Man City

MANCHESTER, England WINGA wa Manchester City, Raheem Sterling, ameandika ujumbe wa majonzi baada ya...

LONDON, England


MKE wa nyota wa Manchester United, Anthony Martial, amebaki akibubujikwa na machozi, baada ya gari alilokuwa akiendesha kumfuata mumewe mazoezini kupata ajali.

Taarifa za gazeti la The Sun ziliripoti jana kuwa tukio hilo lilitokea juzi wakati Melanie Da Cruz, 25, akiendesha gari lake binafsi karibu na uwanja wa mazoezi wa timu hiyo, Carrington baada ya kimwana huyo kujaribu kukwepa gari lililokuwa linakuja mbele yake.

Lilieleza kuwa katika haraka hizo mrembo huyo alishindwa kulidhibiti na badala yake likaenda kugonga ukingo wa barabara na kisha likatumbukia kwenye mtaro.

Hata hivyo, lilieleza kwamba kwa bahati nzuri mwanadada huyo hakupata majeraha makubwa na baada ya muda lilikuja gari la kuvuta magari na kuliondoa gari hilo mtaroni.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

Hamilton avunja rekodi Ureno

LISBON, Ureno STAA wa mbio za magari Lewis Hamilton, amevunja rekodi ya Valtteri...

Ronaldinho naye ana Corona

RIO, Brazil MKONGWE wa Brazil, Ronaldinho, amethibitishwa ana virusi vya corona. Ronaldinho aliandika ujumbe kupitia ukurasa wake wa...

Sterling amlilia kinda wao Man City

MANCHESTER, England WINGA wa Manchester City, Raheem Sterling, ameandika ujumbe wa majonzi baada ya kinda wa zamani wa timu...

Afua Suleiman afunguka ‘Utalijua Jiji’ ilivyompa ustaa mjini

NA JEREMIA ERNEST JINA alilopewa na wazazi wake ni Afua Suleiman na hata alipojitupa kwenye ulimwengu wa muziki wa...

Keche: Kundi maarufu Ghana linalowatamani Diamond, Kiba, Harmonize

JIACHIE na Staa Wako, wiki hii tumetua mpaka Accra, Ghana kwa kundi maarufu la muziki nchini humo, Keche linofanya vizuri na ngoma...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -