Sunday, October 25, 2020

Mkhitaryan: Nitadhihirisha uwezo wangu

Must Read

Fati aweka rekodi Barcelona

CATALUNYA, Hispania ANSU Fati ameweka rekodi ya mchezaji kinda wa kwanza kufunga mabao...

Lampard amshika mkono Silva

MANCHESTER, England KOCHA wa Chelsea, Frank Lampard, amesema atamtumia, Thiago Silva, katika mechi nyingi msimu huu licha ya...

Tuchel awatolea uvivu Mbappe, Neymar

PARIS, Ufaransa KOCHA wa PSG, Thomas Tuchel, amechukizwa na kiwango kibovu walichoonyesha mastaa wa timu hiyo, Kylian...

MANCHESTER, England

KIUNGO  mshambuliaji wa Manchester United, Henrikh Mkhitaryan, ameahidi kurudi kwenye kiwango chake licha ya kuanza vibaya msimu huu wa Ligi Kuu ya England.

Kiwango cha raia huyo wa Armenia kilitiliwa shaka baada ya United kumsajili kwa ada ya pauni milioni 26.3 kwenye dirisha la usajili wa majira yaliyopita ya kiangazi kutoka Borussia Dortmund, alikofunga mabao 23 na kutoa pasi 32 zilizozaa mabao.

“Ni kweli napata muda mchache uwanjani, ila sitakata tamaa, nimetoka mbali hadi kucheza Man United, kwa hiyo hakuna kitakachonizuia kutimiza ndoto yangu,” alisema Mkhitaryan, wakati akizungumza na wanahabari baada ya kuteuliwa kuwa balozi wa UNICEF nchini Armenia.

Mkhitaryan, ambaye alicheza mchezo wake wa kwanza dhidi ya Man City, hajamridhisha kocha wake, Jose Mourhino, baada ya kucheza kwa dakika chache kwenye mchezo wa Ligi ya Europa dhidi ya Fenerbahce, uliomalizika kwa Man United kufungwa mabao 3-1.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

Fati aweka rekodi Barcelona

CATALUNYA, Hispania ANSU Fati ameweka rekodi ya mchezaji kinda wa kwanza kufunga mabao...

Lampard amshika mkono Silva

MANCHESTER, England KOCHA wa Chelsea, Frank Lampard, amesema atamtumia, Thiago Silva, katika mechi nyingi msimu huu licha ya kuwa na umri wa miaka...

Tuchel awatolea uvivu Mbappe, Neymar

PARIS, Ufaransa KOCHA wa PSG, Thomas Tuchel, amechukizwa na kiwango kibovu walichoonyesha mastaa wa timu hiyo, Kylian Mbappe na Neymar, kwenye mechi...

IBRA:Kifaa kipya Konde Gang aliyetembea kwa mguu kumwinda Harmonize

NA BRIGHITER MASAKI UKITAJA vijana wanaofanya vizuri katika mziki wa bongo fleva, huwezi kukosa kumtaja msanii chipukizi anayefahamika zaidi...

Jay-Z: Mama aliingilia bifu langu na Nas

-Z: Mama aliingilia bifu langu na Nas New York, Marekani HAKUNA shabiki wa Hip hop asiyelifahamu...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -