Wednesday, October 28, 2020

MKONGWE: INTER YA MODRIC ITAPENDEZA

Must Read

Hamilton avunja rekodi Ureno

LISBON, Ureno STAA wa mbio za magari Lewis Hamilton, amevunja rekodi ya Valtteri...

Ronaldinho naye ana Corona

RIO, Brazil MKONGWE wa Brazil, Ronaldinho, amethibitishwa ana virusi vya corona. Ronaldinho aliandika...

Sterling amlilia kinda wao Man City

MANCHESTER, England WINGA wa Manchester City, Raheem Sterling, ameandika ujumbe wa majonzi baada ya...

MILAN, Italia


 

MSHAMBULIAJI wa zamani wa timu ya Inter Milan, Ronaldo De Lima, ameonesha kuvutiwa na mpango wa klabu hiyo kumsajili Luka Modric.

Inter inataka kumnyakua Modric ambaye alinyakua tuzo ya mpira wa dhahabu kwenye fainali za Kombe la Dunia mwaka huu, baada ya wapinzani wao Juventus kumsajili Cristiano Ronaldo.

Na De Lima hana hiyana juu ya dili hilo, akisema kwamba timu kubwa za Italia zimedhamiria kurudi kwenye ramani ya soka duniani.

“Modric kwenda Inter? Japo soko la usajili linashangaza siku hizi lakini timu za Italia zimepania kujiimarisha, Inter nao hawako nyuma. Sishangai wakimhitaji Modric, huyo ni mmoja wa wachezaji bora,” alisema.

“Mimi ni shabiki wao mkubwa (Inter), nataka wamchukue ili wafanye vizuri Ulaya. Tusubiri tuone,” aliongeza De Lima.

Hadi sasa Inter imeshawasajili kiungo, Radja Nainngolan, mabeki Stefan De Vrij, Sime Vrsaljko, winga Kwadwo Asamoah na straika Lautaro Martinez.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

Hamilton avunja rekodi Ureno

LISBON, Ureno STAA wa mbio za magari Lewis Hamilton, amevunja rekodi ya Valtteri...

Ronaldinho naye ana Corona

RIO, Brazil MKONGWE wa Brazil, Ronaldinho, amethibitishwa ana virusi vya corona. Ronaldinho aliandika ujumbe kupitia ukurasa wake wa...

Sterling amlilia kinda wao Man City

MANCHESTER, England WINGA wa Manchester City, Raheem Sterling, ameandika ujumbe wa majonzi baada ya kinda wa zamani wa timu...

Afua Suleiman afunguka ‘Utalijua Jiji’ ilivyompa ustaa mjini

NA JEREMIA ERNEST JINA alilopewa na wazazi wake ni Afua Suleiman na hata alipojitupa kwenye ulimwengu wa muziki wa...

Keche: Kundi maarufu Ghana linalowatamani Diamond, Kiba, Harmonize

JIACHIE na Staa Wako, wiki hii tumetua mpaka Accra, Ghana kwa kundi maarufu la muziki nchini humo, Keche linofanya vizuri na ngoma...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -