Tuesday, October 27, 2020

Mkutano Bodi ya Ligi kufanyika Tanga Novemba

Must Read

Boni Mwaitege amkalisha Mgogo

NA VALERY KIYUNGU KUPITIA shindano la Nani Zaidi linaloendeshwa na redio Passion Fm ya...

Mzuka warudi tena kwa s2kizzy

NA CHRISTOPHER MSEKENA SIKU chache baada ya kuvamiwa na kufanyiwa uharibifu wa studio zake...

The Yeamen waipiga ‘Shoti’

NA JEREMIA ERNEST MSANII kutoka kundi la The Yeamen, Suma Toto, amewaomba mashabiki wa...

              Lulu Ringo, Dar es Salaam

Bodi ya Ligi (TPLB), imesema mkutano wa mwaka wa baraza kuu la bodi hiyo utafanyika Novemba Mosi, mkoani Tanga na ajenda kuu ni mchakato wa uchaguzi mdogo wa viongozi kwa nafasi ziliwazo wazi kutokana na waliokuwepo awali kupoteza sifa za uongozi.

Akizungumza na waandishi wa habari leo Ofisa Mtendaji Mkuu wa bodi hiyo Boniface Wambura, amesema nafasi zilizokuwa wazi kutokana na viongozi wake kukosa sifa ni Mwenyekiti, Mwakilishi wa Ligi daraja la tatu na mwakilishi wa klabu Ligi daraja la kwanza ambapo wakati wa uchaguzi wa kwanza nafasi yake haikuwa na mgombea.

“Mwenyekiti aliyekuwepo alipoteza sifa na mwakilishi wa ligi daraja la pili timu yake ilishuka daraja hadi ligi ya mkoa na nafasi ya mwakilishi wa ligi daraja la kwanza nafasi yake ilikua wazi kutokana na kukosekana kwa mgombea,” amesema Wambura.

Aliyekuwa Mwenyekiti wa bodi hiyo kabla ya kupoteza nafasi hiyo awali ilisemekana alikuwa akikaimu nafasi ya Mwenyekiti wa Yanga, Yusuph Manji baada ya kujiuzulu, lakini badae klabu hiyo ilipeleka barua TPLB yenye kukanusha kujiuzulu kwa mwenyekiti huyo hivyo Clemence Sanga akapoteza sifa ya uongozi katika Bodi ya Ligi.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

Boni Mwaitege amkalisha Mgogo

NA VALERY KIYUNGU KUPITIA shindano la Nani Zaidi linaloendeshwa na redio Passion Fm ya...

Mzuka warudi tena kwa s2kizzy

NA CHRISTOPHER MSEKENA SIKU chache baada ya kuvamiwa na kufanyiwa uharibifu wa studio zake za Pluto Republic, prodyuza nyota...

The Yeamen waipiga ‘Shoti’

NA JEREMIA ERNEST MSANII kutoka kundi la The Yeamen, Suma Toto, amewaomba mashabiki wa Bongo Fleva kuendelea kulipa sapoti...

JB Maeba atimiza ndoto zake na Cannibal

NA CHRISTOPHER MSEKENA MSANII wa Afro Pop na Bongo Fleva anayeishi Kenya, James Tesha a.k.a JB Maeba, amesema anafurahi...

‘Certified Lover Boy’ ya Drake yaiva

TORONTO, CANADA RAPA nyota ulimwenguni, Aubrey Graham maarufu kama Drake, ametangaza habari njema ya ujio wa albamu yake ya...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -