Sunday, November 29, 2020

MKWASA AWATULIZA MASHABIKI YANGA

Must Read

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika...

DEWJI: CHAMA NI SIMBA HADI 2022

Kiungo huyo raia wa Zambia, aliyetoa mchangomkubwakwaSimbakufikisharobo fainaliyaLigiyaMabingwaAfrikamsimuwa 2018/19, ikiwamo kutwaa ubingwa wa LigiKuuTanzaniaBarakwa misimumitatu mfululizo, awali...

NA SALMA MPELI,

KATIBU Mkuu wa Yanga, Charles Mkwasa, amewataka mashabiki wa klabu hiyo wawe watulivu na waendelee kuiunga mkono licha ya kupoteza mchezo dhidi ya mahasimu wao, Simba.

Yanga ilitunguliwa mabao 2-1 na Simba katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara uliopigwa Jumamosi iliyopita kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.

Kipigo hicho kimeonekana kuwavuruga mashabiki wa Yanga na kuona hakuna tena uwezekano wa timu yao hiyo kutetea ubingwa wake wa Ligi Kuu msimu huu.

Kupitia taarifa ya klabu hiyo iliyotolewa jana, Mkwasa aliwasifu mashabiki wa Yanga kwa ustaarabu waliouonyesha wakati wa mechi dhidi ya Simba.

“Matokeo haya ni sehemu ya mchezo, kikubwa tunatakiwa kupambana ili tufanye vizuri kwenye michezo iliyobaki, nawaomba mashabiki waendelee  kuwapa sapoti wachezaji wao kwakuwa bado tunakabiliwa na mechi za mashindano tofauti.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania...

DEWJI: CHAMA NI SIMBA HADI 2022

Kiungo huyo raia wa Zambia, aliyetoa mchangomkubwakwaSimbakufikisharobo fainaliyaLigiyaMabingwaAfrikamsimuwa 2018/19, ikiwamo kutwaa ubingwa wa LigiKuuTanzaniaBarakwa misimumitatu mfululizo, awali ilidaiwa alikuwa yupo katika hatuayamwishoyakujiunganaYanga.

Sven aruka kihunzi

NA ASHA KIGUNDULA KOCHA Mkuu wa Simba, Sven Vandenbroeck, ameruka kihunzi na kuwaachia msala nyota wake, Clatous Chama na...

Sarpong ‘aua’ shabiki Simba

Na MWANDISHI WETU, MWANZA BAO la dakika ya 29 lililofungwa na Michael Sarpong wa Yanga juzi, limesababisha kifo cha...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -