Thursday, October 29, 2020

Mkwasa kocha mpya Ruvu Shooting

Must Read

Hamilton avunja rekodi Ureno

LISBON, Ureno STAA wa mbio za magari Lewis Hamilton, amevunja rekodi ya Valtteri...

Ronaldinho naye ana Corona

RIO, Brazil MKONGWE wa Brazil, Ronaldinho, amethibitishwa ana virusi vya corona. Ronaldinho aliandika...

Sterling amlilia kinda wao Man City

MANCHESTER, England WINGA wa Manchester City, Raheem Sterling, ameandika ujumbe wa majonzi baada ya...

NA WINFRIDA MTOI

ALIYEKUWA Kocha Msaidizi wa Yanga, Charles Mkwasa amepata ajira ya kuinoa timu ya Ruvu Shooting inayomikikiwa na Jeshi la Kujenga Taifa (JKT).

Hiyo siyo mara ya kwanza kwa kocha huyo kuinoa Shooting, kwani aliwahi kufanya kazi katika kikosi hicho miaka ya nyuma.

Kabla ya kurejea Shooting, Mkwasa alikuwa akifanya kazi na Yanga akiwa kocha msaidizi, ambapo mkataba wake ulifikia tamati Agosti mwaka huu.

Akizungumza  BINGWA jana, Ofisa Habari wa Ruvu Shooting, Masau Bwire, alithibitisha Mkwasa kupewa jukumu la kuifundisha timu yao, akifichua kuwa ataanza kazi rasmi kesho kutwa.

“Ni kweli Mkwasa ni kocha mpya wa Ruvu Shooting, anachukua nafasi ya Salum Mayanga aliyeondoka, ataanza kazi rasmi Jumatatu kwa ajili ya maandalizi ya msimu mpya,” alisema. Alisema wana imani na Mkwasa kutokana na uzoefu wake katika Ligi Kuu Tanzania Bara, hivyo kumpa mkataba wa miaka miwili.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

Hamilton avunja rekodi Ureno

LISBON, Ureno STAA wa mbio za magari Lewis Hamilton, amevunja rekodi ya Valtteri...

Ronaldinho naye ana Corona

RIO, Brazil MKONGWE wa Brazil, Ronaldinho, amethibitishwa ana virusi vya corona. Ronaldinho aliandika ujumbe kupitia ukurasa wake wa...

Sterling amlilia kinda wao Man City

MANCHESTER, England WINGA wa Manchester City, Raheem Sterling, ameandika ujumbe wa majonzi baada ya kinda wa zamani wa timu...

Afua Suleiman afunguka ‘Utalijua Jiji’ ilivyompa ustaa mjini

NA JEREMIA ERNEST JINA alilopewa na wazazi wake ni Afua Suleiman na hata alipojitupa kwenye ulimwengu wa muziki wa...

Keche: Kundi maarufu Ghana linalowatamani Diamond, Kiba, Harmonize

JIACHIE na Staa Wako, wiki hii tumetua mpaka Accra, Ghana kwa kundi maarufu la muziki nchini humo, Keche linofanya vizuri na ngoma...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -