Tuesday, November 24, 2020

Mlokole: kombe lazima litue Msimbazi

Must Read

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika...

DEWJI: CHAMA NI SIMBA HADI 2022

Kiungo huyo raia wa Zambia, aliyetoa mchangomkubwakwaSimbakufikisharobo fainaliyaLigiyaMabingwaAfrikamsimuwa 2018/19, ikiwamo kutwaa ubingwa wa LigiKuuTanzaniaBarakwa misimumitatu mfululizo, awali...

NA SAADA SALIM

MCHEZAJI mpole na asiye na majivuno ndani ya kikosi cha Simba, Vincent Angban, amewataka mashabiki wa Yanga kutojidanganya kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara msimu huu kwani kutokana na hali ilivyo ndani ya kikosi chao, kombe lazima litue Msimbazi.

Angban ambaye kutokana na upole wake wenzake wamekuwa wakimwita Mlokole, aliliambia BINGWA jana japo pengo la pointi baina yao na Yanga limepungua kutoka point inane hadi mbili, hiyo si sababu ya kutiosha kwa watabni wao hao wa jadi, kutembea vifua mbele wakidhani watatwaa ubingwa.

Kipa huyo alisema bado ana imani na kubwa ya kufanya vizuri zaidi katika mzunguko wa pili wa ligi hiyo kwani watakitumia kipindi hiki cha mapumziko kujiuliza ni wapi waliteleza na jinsi ya kujiimarisha zaidi kileleni.

“Tumepoteza michezo miwili na kupoteza pointi sita, hilo halina maana ndio tutafeli huko mbele, benchi la ufundi limeona mapungufu na wanayafanyia kazi ili tukirejea mzunguko wa pili tuendeleze mapambano,” alisema.

Angban alisema kutokana na utofauti mkubwa wa kikosi cha msimu huu na msimu uliopita, hadhani kama Yanga au Azam zitawasumbua, hasa watakapokutana nazo, michezo ambayo anaamini ndiyo itakayowahakikishia ubingwa.

Simba wako kileleni kwa pointi 35, huku Yanga ikiwa katika nafasi ya pili kwa pointi 33 katika msimamo wa Ligi Kuu Bara.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania...

DEWJI: CHAMA NI SIMBA HADI 2022

Kiungo huyo raia wa Zambia, aliyetoa mchangomkubwakwaSimbakufikisharobo fainaliyaLigiyaMabingwaAfrikamsimuwa 2018/19, ikiwamo kutwaa ubingwa wa LigiKuuTanzaniaBarakwa misimumitatu mfululizo, awali ilidaiwa alikuwa yupo katika hatuayamwishoyakujiunganaYanga.

Sven aruka kihunzi

NA ASHA KIGUNDULA KOCHA Mkuu wa Simba, Sven Vandenbroeck, ameruka kihunzi na kuwaachia msala nyota wake, Clatous Chama na...

Sarpong ‘aua’ shabiki Simba

Na MWANDISHI WETU, MWANZA BAO la dakika ya 29 lililofungwa na Michael Sarpong wa Yanga juzi, limesababisha kifo cha...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -