Tuesday, November 24, 2020

MO DEWJI: SIMBA LAZIMA ICHEZE AFRIKA MWAKANI

Must Read

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika...

DEWJI: CHAMA NI SIMBA HADI 2022

Kiungo huyo raia wa Zambia, aliyetoa mchangomkubwakwaSimbakufikisharobo fainaliyaLigiyaMabingwaAfrikamsimuwa 2018/19, ikiwamo kutwaa ubingwa wa LigiKuuTanzaniaBarakwa misimumitatu mfululizo, awali...

NA EZEKIEL TENDWA,

WAKATI mashabiki wa Yanga wakiendelea kujiuliza nini kiliwatokea mwishoni mwa wiki iliyopita, mwanachama maarufu wa Simba, Mohamed Dewji ‘Mo’, amewaambia mashabiki wa Wekundu hao lazima kikosi chao kitashiriki michuano ya kimataifa mwakani.

Simba iliibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Yanga katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Jumamosi iliyopita.

Ushindi huo umekoleza dhamira ya timu hiyo kutaka kutwaa taji la ubingwa wa Ligi Kuu msimu huu baada ya kushindwa kufanya hivyo kwa miaka mitano sasa.

Mo ambaye amekuwa akiisaidia Simba kwa hali na mali, aliandika katika mtandao wa kijamii wa facebook kwamba shabaha ya Simba ni kushiriki michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika.

“Hongera Simba! Fantastic 3 points: let’s be focused on winning the league. Shabaha yetu ni Africa champions league,” aliandika Mo kwa kifupi.

Ushindi huo umewafanya Simba kufikisha jumla ya pointi 54 kileleni baada ya kushuka dimbani mara 23 na kuwaacha mahasimu wao Yanga kwenye nafasi ya pili wakiwa na pointi 49 baada ya kucheza mechi 22.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania...

DEWJI: CHAMA NI SIMBA HADI 2022

Kiungo huyo raia wa Zambia, aliyetoa mchangomkubwakwaSimbakufikisharobo fainaliyaLigiyaMabingwaAfrikamsimuwa 2018/19, ikiwamo kutwaa ubingwa wa LigiKuuTanzaniaBarakwa misimumitatu mfululizo, awali ilidaiwa alikuwa yupo katika hatuayamwishoyakujiunganaYanga.

Sven aruka kihunzi

NA ASHA KIGUNDULA KOCHA Mkuu wa Simba, Sven Vandenbroeck, ameruka kihunzi na kuwaachia msala nyota wake, Clatous Chama na...

Sarpong ‘aua’ shabiki Simba

Na MWANDISHI WETU, MWANZA BAO la dakika ya 29 lililofungwa na Michael Sarpong wa Yanga juzi, limesababisha kifo cha...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -