Saturday, October 31, 2020

MOBETTO, SHILOLE, BARNABA WALAMBA SHAVU TCRA

Must Read

Hamilton avunja rekodi Ureno

LISBON, Ureno STAA wa mbio za magari Lewis Hamilton, amevunja rekodi ya Valtteri...

Ronaldinho naye ana Corona

RIO, Brazil MKONGWE wa Brazil, Ronaldinho, amethibitishwa ana virusi vya corona. Ronaldinho aliandika...

Sterling amlilia kinda wao Man City

MANCHESTER, England WINGA wa Manchester City, Raheem Sterling, ameandika ujumbe wa majonzi baada ya...

NA JEREMIA ERNEST


WASANII Hamisa Mobetto, Zuwena Mohamed ‘Shilole’, Elius Barnabas ‘Barnaba’ na Abdulla Sultan ‘Dullvan’, wamepata dili la ubalozi wa kampeni ya Be Smart iliyoandaliwa na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) kupitia Baraza la Ushauri la Watumiaji wa Huduma za Mawasiliano (TCRA CCC),  yenye lengo la kuelimisha vijana kuhusu kuepuka matumizi mabaya ya mitandao ya kijamii.

Akizungumza na waandishi wa habari jana jijini Dar es Salaam, Mobetto, alisema yeye ni mwathirika wa matumizi mabaya ya mitandao ya kijamii kwani amekuwa akitukanwa na watu mbalimbali wengine wakitumia picha zake vibaya hivyo anaamini kampeni ya Be Smart, itabadilisha mitazamo ya watu wengi kutumia mitandao kwa faida.

“Mitandao imenisaidia kunikuza, kisanaa na kibiashara, lakini nimekuwa nikipata changamoto nyingi kutokana na vijana kutojua mitandao ipo kwa ajili gani, utakuwa kuna vijana wadogo wanatukana watu wakikamatwa wanakuja kukulilia.

“Nafikiria vijana kama sisi tunapaswa kujitambua na kuitumia vizuri, mimi nina duka ambalo halipo barabarani ila watu wanakuja kwa sababu ya matangazo ninayofanya kwenye mitandao, nimeifurahia hii kampeni kwa sababu itakwenda kuwapa elimu ya namna nzuri ya mitandao inavyoweza kutumika kwa faida,” alisema Mobetto.

Kampeni hiyo imelenga kutoa elimu kwa vijana hususani wanafunzi na kwa kuanzia watatembelea shule 20 za Mkoa wa Dar es Salaam.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

Hamilton avunja rekodi Ureno

LISBON, Ureno STAA wa mbio za magari Lewis Hamilton, amevunja rekodi ya Valtteri...

Ronaldinho naye ana Corona

RIO, Brazil MKONGWE wa Brazil, Ronaldinho, amethibitishwa ana virusi vya corona. Ronaldinho aliandika ujumbe kupitia ukurasa wake wa...

Sterling amlilia kinda wao Man City

MANCHESTER, England WINGA wa Manchester City, Raheem Sterling, ameandika ujumbe wa majonzi baada ya kinda wa zamani wa timu...

Afua Suleiman afunguka ‘Utalijua Jiji’ ilivyompa ustaa mjini

NA JEREMIA ERNEST JINA alilopewa na wazazi wake ni Afua Suleiman na hata alipojitupa kwenye ulimwengu wa muziki wa...

Keche: Kundi maarufu Ghana linalowatamani Diamond, Kiba, Harmonize

JIACHIE na Staa Wako, wiki hii tumetua mpaka Accra, Ghana kwa kundi maarufu la muziki nchini humo, Keche linofanya vizuri na ngoma...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -