Tuesday, October 27, 2020

MOLINA ACHIMBA MKWARA MZITO KWA AJ

Must Read

Hamilton avunja rekodi Ureno

LISBON, Ureno STAA wa mbio za magari Lewis Hamilton, amevunja rekodi ya Valtteri...

Ronaldinho naye ana Corona

RIO, Brazil MKONGWE wa Brazil, Ronaldinho, amethibitishwa ana virusi vya corona. Ronaldinho aliandika...

Sterling amlilia kinda wao Man City

MANCHESTER, England WINGA wa Manchester City, Raheem Sterling, ameandika ujumbe wa majonzi baada ya...

LONDON, England


BONDIA Eric Molina amejitamba kwa kusema kuwa ana uhakika wa kumchapa bingwa wa IBF uzito wa juu, Anthony Joshua ‘AJ’, katika pambano lao litakalopigwa jijini Manchester Jumamosi ijayo.

Molina mwenye rekodi ya kushinda michezo 25 (KO 19) na kupoteza michezo mitatu, aliwasili England wikiendi iliyopita kwa ajili ya jaribio lake la pili la kunyakua ubingwa wa dunia wa uzito wa juu, baada ya kuchapwa kwa KO na bingwa wa WBC, Deontay Wilder mwaka 2015.

“Wananihukumu kwa kichapo nilichokipata kutoka kwa Chris Arreola (kichapo cha pili kati ya vitatu), wakati pambano lenyewe lilikuwa la kwanza kwangu katika ngazi ya uzito wa juu. Bado nilikuwa dhaifu,” alisema Molina.

“Kiwango changu kwenye uzito wa juu kimeimarika mno. Hakuna bondia yeyote wa uzito wa juu duniani ambaye angeweza kupitia njia niliyopitia hadi kufikia hapa nilipo.

“Nimeshaona makosa ya AJ yakatakavyokuwa na nimeshajua balaa langu liko wapi. Nitamchapa tu,” alisema.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

Hamilton avunja rekodi Ureno

LISBON, Ureno STAA wa mbio za magari Lewis Hamilton, amevunja rekodi ya Valtteri...

Ronaldinho naye ana Corona

RIO, Brazil MKONGWE wa Brazil, Ronaldinho, amethibitishwa ana virusi vya corona. Ronaldinho aliandika ujumbe kupitia ukurasa wake wa...

Sterling amlilia kinda wao Man City

MANCHESTER, England WINGA wa Manchester City, Raheem Sterling, ameandika ujumbe wa majonzi baada ya kinda wa zamani wa timu...

Afua Suleiman afunguka ‘Utalijua Jiji’ ilivyompa ustaa mjini

NA JEREMIA ERNEST JINA alilopewa na wazazi wake ni Afua Suleiman na hata alipojitupa kwenye ulimwengu wa muziki wa...

Keche: Kundi maarufu Ghana linalowatamani Diamond, Kiba, Harmonize

JIACHIE na Staa Wako, wiki hii tumetua mpaka Accra, Ghana kwa kundi maarufu la muziki nchini humo, Keche linofanya vizuri na ngoma...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -