Tuesday, November 24, 2020

MOURINHO BADO AJIPA MATUMAINI ‘TOP-FOUR’

Must Read

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika...

DEWJI: CHAMA NI SIMBA HADI 2022

Kiungo huyo raia wa Zambia, aliyetoa mchangomkubwakwaSimbakufikisharobo fainaliyaLigiyaMabingwaAfrikamsimuwa 2018/19, ikiwamo kutwaa ubingwa wa LigiKuuTanzaniaBarakwa misimumitatu mfululizo, awali...

LONDON, England

KOCHA Jose Mourinho amesema bado ana matumaini timu yake ya Manchester United kumaliza ligi wakiwa kwenye orodha ya timu nne bora, lakini akasema kwamba ni lazima waache mtindo wa kupoteza pointi wakiwa kwenye uwanja wao wa Old Trafford.

Man United, ambao wanaweza kucheza michuano ya Ligi ya Europa endapo watafanikiwa kutwaa taji la michuano hiyo, juzi walijikuta wakibanwa mbavu na kulazimishwa sare ya  bao  1-1  na timu iliyokuwa na wachezaji  10, Bournemouth na huku straika wao,  Zlatan Ibrahimovic akikosa penalti kipindi cha pili.

Hiyo ilikuwa ni mechi ya  10 msimu huu mwa Man  United kutoka sare ambapo kati ya hizo, saba ilizipata ikiwa  Old Trafford.

Timu inayoshika nafasi ya nne, Manchester City, ipo mbele kwa pointi tatu dhidi ya mahasimu wao na huku ikiwa na mechi moja mkononi, lakini  Mourinho anasema kwamba wanafanya kila liwezekano ili kuondoka na matokeo ya sare na kupata ya ushindi.

“Hapa hatujapoteza matumani ya kushika mojawapo ya nafasi nne,”  Mourinho  aliwaambia waandishi wa habari wakati alipohojiwa kama matumaini yao yametoweka.

“Bado kuna mechi za kucheza, za kushinda na za kupigania,lakini kwa uhalisia tumepoteza pointi nyingi tukiwa nyumbani na ukiangalia mechi nyingi tulizopoteza pointi tukiwa nyumbani ni nyingi,” aliongeza Mreno huyo.

Alisema kwamba, endapo utazihesabu zinaweza kuwa ni kati 10 ama 12 na kwamba kama wangezipata kwa sasa wangekuwa wanazungumzia kushika nafasi ya kwanza ama ya pili.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania...

DEWJI: CHAMA NI SIMBA HADI 2022

Kiungo huyo raia wa Zambia, aliyetoa mchangomkubwakwaSimbakufikisharobo fainaliyaLigiyaMabingwaAfrikamsimuwa 2018/19, ikiwamo kutwaa ubingwa wa LigiKuuTanzaniaBarakwa misimumitatu mfululizo, awali ilidaiwa alikuwa yupo katika hatuayamwishoyakujiunganaYanga.

Sven aruka kihunzi

NA ASHA KIGUNDULA KOCHA Mkuu wa Simba, Sven Vandenbroeck, ameruka kihunzi na kuwaachia msala nyota wake, Clatous Chama na...

Sarpong ‘aua’ shabiki Simba

Na MWANDISHI WETU, MWANZA BAO la dakika ya 29 lililofungwa na Michael Sarpong wa Yanga juzi, limesababisha kifo cha...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -