Sunday, November 29, 2020

MOURINHO: UWANJA WA ROSTOV HAUNA VIWANGO

Must Read

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika...

DEWJI: CHAMA NI SIMBA HADI 2022

Kiungo huyo raia wa Zambia, aliyetoa mchangomkubwakwaSimbakufikisharobo fainaliyaLigiyaMabingwaAfrikamsimuwa 2018/19, ikiwamo kutwaa ubingwa wa LigiKuuTanzaniaBarakwa misimumitatu mfululizo, awali...

MOSCOW, Urusi

KOCHA wa Manchester United, Jose Mourinho, amedai uwanja wa wapinzani wao Rostov hauna hadhi ya kutumika katika mchezo wa soka.

Mreno huyo ameyasema hayo katika mkutano wake na waandishi wa habari kuelekea mchezo wao wa leo utakaochezwa Urusi.

Akizungumzia hali ya uwanja huo, Mourinho alisema: “Ni ngumu kwangu kuamini kuwa tutacheza pale, ikiwa utauita uwanja wa soka.

“Ni kama uwanja mmoja uliopo Beijing (ambao Man United walikataa kucheza wakati walipokuwa kwenye mapumziko ya kujiandaa na msimu huu).

Man United watashuka dimbani hapo kumenyana na wenyeji wao Rostov ukiwa ni mchezo wao wa kwanza wa hatua ya 16 bora ya Ligi ya Europa.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania...

DEWJI: CHAMA NI SIMBA HADI 2022

Kiungo huyo raia wa Zambia, aliyetoa mchangomkubwakwaSimbakufikisharobo fainaliyaLigiyaMabingwaAfrikamsimuwa 2018/19, ikiwamo kutwaa ubingwa wa LigiKuuTanzaniaBarakwa misimumitatu mfululizo, awali ilidaiwa alikuwa yupo katika hatuayamwishoyakujiunganaYanga.

Sven aruka kihunzi

NA ASHA KIGUNDULA KOCHA Mkuu wa Simba, Sven Vandenbroeck, ameruka kihunzi na kuwaachia msala nyota wake, Clatous Chama na...

Sarpong ‘aua’ shabiki Simba

Na MWANDISHI WETU, MWANZA BAO la dakika ya 29 lililofungwa na Michael Sarpong wa Yanga juzi, limesababisha kifo cha...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -