Friday, November 27, 2020

Mpoto achukizwa na wasanii wenzake

Must Read

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika...

DEWJI: CHAMA NI SIMBA HADI 2022

Kiungo huyo raia wa Zambia, aliyetoa mchangomkubwakwaSimbakufikisharobo fainaliyaLigiyaMabingwaAfrikamsimuwa 2018/19, ikiwamo kutwaa ubingwa wa LigiKuuTanzaniaBarakwa misimumitatu mfululizo, awali...

NA ESTHER GEORGE

MSANII mahiri wa muziki wa asili na simulizi za hadithi, Mrisho Mpoto, amesema anachukizwa na kitendo cha baadhi ya wasanii wanaotumia vibaya mitandao ya kijamii.

Akizungumza na Papaso la Burudani, Mpoto alisema wasanii wengi wamekuwa wakitumia mitandao hiyo vibaya, huku wakiwa wamesahau kuwa mtandao wowote unampa fursa ya kutanua kazi yake ili kujulikana kimataifa.

“Wasanii tunajisahau sana, tumekuwa na tabia ya kuchafuana kwenye mitandao, hali ambayo inatuharibia  kwa nchi za wenzetu, tunajidhalilisha kwa tabia hii ambayo tunaona ni sifa,” alisema Mpoto.

Alisema hakuna mchawi wa kuporomosha kazi ya sanaa, isipokuwa wasanii wenyewe wanachangia kwa kutokuwa na maadili kwenye mitandao hiyo.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania...

DEWJI: CHAMA NI SIMBA HADI 2022

Kiungo huyo raia wa Zambia, aliyetoa mchangomkubwakwaSimbakufikisharobo fainaliyaLigiyaMabingwaAfrikamsimuwa 2018/19, ikiwamo kutwaa ubingwa wa LigiKuuTanzaniaBarakwa misimumitatu mfululizo, awali ilidaiwa alikuwa yupo katika hatuayamwishoyakujiunganaYanga.

Sven aruka kihunzi

NA ASHA KIGUNDULA KOCHA Mkuu wa Simba, Sven Vandenbroeck, ameruka kihunzi na kuwaachia msala nyota wake, Clatous Chama na...

Sarpong ‘aua’ shabiki Simba

Na MWANDISHI WETU, MWANZA BAO la dakika ya 29 lililofungwa na Michael Sarpong wa Yanga juzi, limesababisha kifo cha...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -