Wednesday, October 28, 2020

Mrembo kuvua nguo Arsenal ikichukua ubingwa

Must Read

Hamilton avunja rekodi Ureno

LISBON, Ureno STAA wa mbio za magari Lewis Hamilton, amevunja rekodi ya Valtteri...

Ronaldinho naye ana Corona

RIO, Brazil MKONGWE wa Brazil, Ronaldinho, amethibitishwa ana virusi vya corona. Ronaldinho aliandika...

Sterling amlilia kinda wao Man City

MANCHESTER, England WINGA wa Manchester City, Raheem Sterling, ameandika ujumbe wa majonzi baada ya...

LONDON, England

HII ni ahadi kutoka kwa mtangazaji wa kituo cha runinga cha Arsenal, Nicole Holliday ambaye amedai kuwa atatangaza akiwa nusu utupu ikiwa klabu yake hiyo itatwaa ubingwa wa Ligi Kuu England msimu huu.

Msimu uliopita mtangazaji mwingine, Gary Lineker aliahidi kuingia studio bila nguo ikiwa Leicester wangechukua ubingwa na ilipotokea hivyo, mchezaji huyo wa zamani wa timu ya Taifa ya England alitekeleza ahadi hiyo alipozungumza na watazamaji wake akiwa amevaa ‘boksa’ pekee.

Mbali na kuvaa nguo hiyo ya ndani, mwanadada Nicole ameongeza kuwa yuko tayari kubaki kama alivyozaliwa ikiwa Gunners watatwaa taji la Ligi ya Mabingwa Ulaya.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

Hamilton avunja rekodi Ureno

LISBON, Ureno STAA wa mbio za magari Lewis Hamilton, amevunja rekodi ya Valtteri...

Ronaldinho naye ana Corona

RIO, Brazil MKONGWE wa Brazil, Ronaldinho, amethibitishwa ana virusi vya corona. Ronaldinho aliandika ujumbe kupitia ukurasa wake wa...

Sterling amlilia kinda wao Man City

MANCHESTER, England WINGA wa Manchester City, Raheem Sterling, ameandika ujumbe wa majonzi baada ya kinda wa zamani wa timu...

Afua Suleiman afunguka ‘Utalijua Jiji’ ilivyompa ustaa mjini

NA JEREMIA ERNEST JINA alilopewa na wazazi wake ni Afua Suleiman na hata alipojitupa kwenye ulimwengu wa muziki wa...

Keche: Kundi maarufu Ghana linalowatamani Diamond, Kiba, Harmonize

JIACHIE na Staa Wako, wiki hii tumetua mpaka Accra, Ghana kwa kundi maarufu la muziki nchini humo, Keche linofanya vizuri na ngoma...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -