Wednesday, October 28, 2020

MRITHI WA ROSBERG KUTANGAZWA MWISHO WA MWEZI

Must Read

Hamilton avunja rekodi Ureno

LISBON, Ureno STAA wa mbio za magari Lewis Hamilton, amevunja rekodi ya Valtteri...

Ronaldinho naye ana Corona

RIO, Brazil MKONGWE wa Brazil, Ronaldinho, amethibitishwa ana virusi vya corona. Ronaldinho aliandika...

Sterling amlilia kinda wao Man City

MANCHESTER, England WINGA wa Manchester City, Raheem Sterling, ameandika ujumbe wa majonzi baada ya...

LONDON, England


TIMU ya Mercedes imeazimia kufanya usajili wa dereva atakayerithi kiti cha Nico Rosberg mwishoni mwa mwezi huu na wanasaka dereva atakayekuwa bora zaidi ya bingwa huyo wa dunia wa mbio za Formula One.

Rosberg aliamua kustaafu mwishoni mwa wiki iliyopita baada ya kunyakua ubingwa huo na kigogo wa Mercedes, Niki Lauda, alikiri kushtushwa na uamuzi huo wa Rosberg.

“Nilishtuka kwa sababu kila wakati nawaza juu ya vitu fulani kutokea lakini hili la kustaafu mapema kwa Rosberg sikuwahi kuliwaza,” alisema Lauda.

“Nilizungumza naye baadaye ili kujua kwa sababu niliwahi kustaafu mara mbili enzi zangu. Nilitaka kujua kama kweli hatakuja kujutia uamuzi wake lakini alinijibu kwamba ana uhakika wa asilimia 1,000!

“Hapo nikajua kwamba kweli ameamua na sitaweza kumzuia. Alikuwa na lengo moja tu kuchukua ubingwa,” alisema.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

Hamilton avunja rekodi Ureno

LISBON, Ureno STAA wa mbio za magari Lewis Hamilton, amevunja rekodi ya Valtteri...

Ronaldinho naye ana Corona

RIO, Brazil MKONGWE wa Brazil, Ronaldinho, amethibitishwa ana virusi vya corona. Ronaldinho aliandika ujumbe kupitia ukurasa wake wa...

Sterling amlilia kinda wao Man City

MANCHESTER, England WINGA wa Manchester City, Raheem Sterling, ameandika ujumbe wa majonzi baada ya kinda wa zamani wa timu...

Afua Suleiman afunguka ‘Utalijua Jiji’ ilivyompa ustaa mjini

NA JEREMIA ERNEST JINA alilopewa na wazazi wake ni Afua Suleiman na hata alipojitupa kwenye ulimwengu wa muziki wa...

Keche: Kundi maarufu Ghana linalowatamani Diamond, Kiba, Harmonize

JIACHIE na Staa Wako, wiki hii tumetua mpaka Accra, Ghana kwa kundi maarufu la muziki nchini humo, Keche linofanya vizuri na ngoma...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -