Friday, October 23, 2020

MSIMAMO WA ZAHERA WAMVUTIA BOSI AFRICAN LYON

Must Read

Fati aweka rekodi Barcelona

CATALUNYA, Hispania ANSU Fati ameweka rekodi ya mchezaji kinda wa kwanza kufunga mabao...

Lampard amshika mkono Silva

MANCHESTER, England KOCHA wa Chelsea, Frank Lampard, amesema atamtumia, Thiago Silva, katika mechi nyingi msimu huu licha ya...

Tuchel awatolea uvivu Mbappe, Neymar

PARIS, Ufaransa KOCHA wa PSG, Thomas Tuchel, amechukizwa na kiwango kibovu walichoonyesha mastaa wa timu hiyo, Kylian...

NA WINFRIDA MTOI

MKURUGENZI wa timu ya African Lyon, Raheem Zamunda, amemmwagia sifa kocha mkuu wa kikosi cha Yanga, Mwinyi Zahera, kutokana na msimamo wake wa  kusimamia nidhamu huku akiwaambia ukweli wachezaji.

Hivi karibuni Zahera aliwarudisha nyumbani wachezaji watatu wa Yanga waliochelewa kufika kambini lakini pia amekuwa akiweka wazi hali halisi ya nyota wake hasa katika kuzingatia programu za mazoezi.

Zamunda alitoa sifa hizo kwa Zahera wiki iliyopita walipokutana katika Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam wakati wa mechi ya African Lyon na Singida United.

Kiongozi huyo aliyekuwa amekaa katika jukwaa la viongozi akitazama mchezo kati ya timu yake na Singida, ambapo muda wa mapumziko alimfuata Zahera na kumwambia kuwa anavutiwa na maneno yake ya kuwaeleza ukweli wachezaji.

“Hongera kocha, nimekusikia redioni jinsi ulivyokuwa unaeleza ukweli wa mwenendo wa wachezaji wako, ni makocha wachache wenye ujasiri kama huo wa kuzungumza vitu kama vile, nimependa sana uendelee hivyo hivyo,” alisikika Zamunda wakati akizungumza na Zahera.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

Fati aweka rekodi Barcelona

CATALUNYA, Hispania ANSU Fati ameweka rekodi ya mchezaji kinda wa kwanza kufunga mabao...

Lampard amshika mkono Silva

MANCHESTER, England KOCHA wa Chelsea, Frank Lampard, amesema atamtumia, Thiago Silva, katika mechi nyingi msimu huu licha ya kuwa na umri wa miaka...

Tuchel awatolea uvivu Mbappe, Neymar

PARIS, Ufaransa KOCHA wa PSG, Thomas Tuchel, amechukizwa na kiwango kibovu walichoonyesha mastaa wa timu hiyo, Kylian Mbappe na Neymar, kwenye mechi...

IBRA:Kifaa kipya Konde Gang aliyetembea kwa mguu kumwinda Harmonize

NA BRIGHITER MASAKI UKITAJA vijana wanaofanya vizuri katika mziki wa bongo fleva, huwezi kukosa kumtaja msanii chipukizi anayefahamika zaidi...

Jay-Z: Mama aliingilia bifu langu na Nas

-Z: Mama aliingilia bifu langu na Nas New York, Marekani HAKUNA shabiki wa Hip hop asiyelifahamu...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -