Saturday, October 31, 2020

MSUVA AANZA KUIFUNGIA KAZI CAPE VERDE

Must Read

Hamilton avunja rekodi Ureno

LISBON, Ureno STAA wa mbio za magari Lewis Hamilton, amevunja rekodi ya Valtteri...

Ronaldinho naye ana Corona

RIO, Brazil MKONGWE wa Brazil, Ronaldinho, amethibitishwa ana virusi vya corona. Ronaldinho aliandika...

Sterling amlilia kinda wao Man City

MANCHESTER, England WINGA wa Manchester City, Raheem Sterling, ameandika ujumbe wa majonzi baada ya...

NA MWAMVITA MTANDA


WINGA wa timu ya soka ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars, Simon Msuva, amesema kwamba, hataruhusu wapinzani wao Cape Verde kubaki salama kwao kutokana na maandalizi mazito anayoyafanya kwa ajili ya kusaidia timu yake, katika mechi itakayopigwa Oktoba 12, mwaka huu.

Msuva ambaye pia ni mchezaji wa kulipwa katika timu ya Difaa El Jadida ya nchini Morocco, ni miongoni mwa nyota walioitumikia Stars katika mechi dhidi ya Uganda ‘The Cranes’ ambayo ilimalizika kwa sare ya bila kufungana.

Akizungumza na BINGWA jana kwa njia ya mtandao, Msuva, alisema japo ana kazi ngumu ya kuisaidia timu yake ya Difaa El Jadida, lakini mawazo yake yote kwa sasa anaifikiria timu yake ya taifa iweze kupata ushindi.

“Mafanikio ya timu yangu ya taifa ndiyo mafanikio yangu, nawaza kupambana kuhakikisha tunakwenda kushinda mechi hiyo,  tukishinda tutakuwa tumejitengenezea nafasi kubwa zaidi ya kwenda Cameroon,” alisema Msuva.

Aidha, Msuva aliwatoa hofu mashabiki akiwataka wasiwe na shaka juu ya kikosi cha Stars cha msimu huu kwani ni kikosi ambacho kina wachezaji walio tayari kuisaidia timu kupata ushindi.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

Hamilton avunja rekodi Ureno

LISBON, Ureno STAA wa mbio za magari Lewis Hamilton, amevunja rekodi ya Valtteri...

Ronaldinho naye ana Corona

RIO, Brazil MKONGWE wa Brazil, Ronaldinho, amethibitishwa ana virusi vya corona. Ronaldinho aliandika ujumbe kupitia ukurasa wake wa...

Sterling amlilia kinda wao Man City

MANCHESTER, England WINGA wa Manchester City, Raheem Sterling, ameandika ujumbe wa majonzi baada ya kinda wa zamani wa timu...

Afua Suleiman afunguka ‘Utalijua Jiji’ ilivyompa ustaa mjini

NA JEREMIA ERNEST JINA alilopewa na wazazi wake ni Afua Suleiman na hata alipojitupa kwenye ulimwengu wa muziki wa...

Keche: Kundi maarufu Ghana linalowatamani Diamond, Kiba, Harmonize

JIACHIE na Staa Wako, wiki hii tumetua mpaka Accra, Ghana kwa kundi maarufu la muziki nchini humo, Keche linofanya vizuri na ngoma...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -