Wednesday, October 28, 2020

Msuva aiota tuzo ya uchezaji bora

Must Read

Hamilton avunja rekodi Ureno

LISBON, Ureno STAA wa mbio za magari Lewis Hamilton, amevunja rekodi ya Valtteri...

Ronaldinho naye ana Corona

RIO, Brazil MKONGWE wa Brazil, Ronaldinho, amethibitishwa ana virusi vya corona. Ronaldinho aliandika...

Sterling amlilia kinda wao Man City

MANCHESTER, England WINGA wa Manchester City, Raheem Sterling, ameandika ujumbe wa majonzi baada ya...

NA ZAINAB IDDY

WINGA wa Yanga, Simon Msuva, amesema anatamani kuwa mmoja kati ya wachezaji watakaowania tuzo ya mchezaji bora wa msimu huu wa Ligi Kuu Bara.

Msuva ameliambia BINGWA kuwa, msimu uliopita alishindwa kuingia kwenye kinyang’anyiro hicho kutokana na kuwa na matatizo binafsi, ambayo yalichangia kushusha kiwango chake, lakini safari hii amepania kufanya kweli.

“Sifikiri kuwa mfungaji ikitokea ni jambo zuri, ninachofikiria ni kuwa mchezaji bora, kwani msimu uliopita yapo mambo mengi yalichangia kunishusha kiwango changu ambayo kwa sasa hayapo tena.

“Najua kuna upinzani mkali kutokana na kila mchezaji kuonekana akijituma, lakini kwa upande wangu najitahidi kufanya kazi yangu kwa umakini ili niweze kutimiza lengo langu,” alisema.

Msuva aliibuka mfungaji bora wa Ligi Kuu Bara msimu wa 2014/15, baada ya kuifungia Yanga mabao 17.

Tayari Msuva amefanikiwa kupachika wavuni mabao matano kupitia mechi 12  ilizocheza mpaka sasa.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

Hamilton avunja rekodi Ureno

LISBON, Ureno STAA wa mbio za magari Lewis Hamilton, amevunja rekodi ya Valtteri...

Ronaldinho naye ana Corona

RIO, Brazil MKONGWE wa Brazil, Ronaldinho, amethibitishwa ana virusi vya corona. Ronaldinho aliandika ujumbe kupitia ukurasa wake wa...

Sterling amlilia kinda wao Man City

MANCHESTER, England WINGA wa Manchester City, Raheem Sterling, ameandika ujumbe wa majonzi baada ya kinda wa zamani wa timu...

Afua Suleiman afunguka ‘Utalijua Jiji’ ilivyompa ustaa mjini

NA JEREMIA ERNEST JINA alilopewa na wazazi wake ni Afua Suleiman na hata alipojitupa kwenye ulimwengu wa muziki wa...

Keche: Kundi maarufu Ghana linalowatamani Diamond, Kiba, Harmonize

JIACHIE na Staa Wako, wiki hii tumetua mpaka Accra, Ghana kwa kundi maarufu la muziki nchini humo, Keche linofanya vizuri na ngoma...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -