Friday, December 4, 2020

MSUVA ANAFANYA MAMBO YAKE KISOMI

Must Read

HUJUMA NZITO YANGA

NA WINFRIDA MTOI UONGOZI wa Yanga upo katika harakati za kuhamishia mechi zao zilizobaki...

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika...

NA HUSSEIN OMAR

WINGA wa Yanga, Simon Msuva, amekataa kuzungumzia hatima yake ndani ya klabu hiyo, lakini amekiri kupokea ofa kadhaa kutoka klabu za nje ya Tanzania.

Winga huyo mwenye kasi, amekuwa akihusishwa na mipango ya usajili wa msimu ujao ya Simba, ambao ni mahasimu wakubwa wa Yanga.

Akizungumza na BINGWA, Msuva alisema kuna maneno mengi yanazungumzwa kuhusu hatma yake Jangwani, lakini ametaka suala hilo iachiwe menejimenti yake, akidai ndio unaojua kama anaondoka au la.

“Mtakuwa mnapotosha watu tu kila siku, mara anaondoka mara haondoki, masuala yote yanayohusu maisha yangu ya soka yapo chini ya menejimenti yangu, kwa hiyo wao ndio wanaweza kukwambia nini kinaendelea,” alisema Msuva.

Winga huyo, ambaye anaondoka katika chati ya wafungaji wa Ligi Kuu Bara msimu huu, akiwa amepachika mabao 12, amekiri kupokea ofa kadhaa kutoka klabu za nje.

“Ni kweli ofa zipo, tena nyingi tu, lakini kama nilivyokwambia, watu sahihi wa kukwambia yote hayo ni menejimeti yangu, wao ndio wanajua kila kitu,” aliongeza Msuva.

Kocha wa Zanaco ya Zambia, Numba Mumamba, alimsifu winga huyo kwa kiwango bora, baada ya kumshuhudia wakati wa mechi ya Ligi ya Mabingwa Afrika baina ya timu hizo, iliyofanyika kwenye Uwanja wa Taifa, jijini Dar es Salaam wiki mbili zilizopita.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

HUJUMA NZITO YANGA

NA WINFRIDA MTOI UONGOZI wa Yanga upo katika harakati za kuhamishia mechi zao zilizobaki...

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul 'Ben Pol' ameshukuru mashabiki kwa...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania...

DEWJI: CHAMA NI SIMBA HADI 2022

Kiungo huyo raia wa Zambia, aliyetoa mchangomkubwakwaSimbakufikisharobo fainaliyaLigiyaMabingwaAfrikamsimuwa 2018/19, ikiwamo kutwaa ubingwa wa LigiKuuTanzaniaBarakwa misimumitatu mfululizo, awali ilidaiwa alikuwa yupo katika hatuayamwishoyakujiunganaYanga.

Sven aruka kihunzi

NA ASHA KIGUNDULA KOCHA Mkuu wa Simba, Sven Vandenbroeck, ameruka kihunzi na kuwaachia msala nyota wake, Clatous Chama na...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -