Monday, November 23, 2020

Msuva aanza kujifua kivyake

Must Read

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika...

DEWJI: CHAMA NI SIMBA HADI 2022

Kiungo huyo raia wa Zambia, aliyetoa mchangomkubwakwaSimbakufikisharobo fainaliyaLigiyaMabingwaAfrikamsimuwa 2018/19, ikiwamo kutwaa ubingwa wa LigiKuuTanzaniaBarakwa misimumitatu mfululizo, awali...

NA SALMA MPELI

WINGA wa Yanga, Simon Msuva, amesema anaendelea kufanya mazoezi kivyake, licha ya wachezaji wa timu hiyo kupewa mapumziko ya wiki mbili, baada ya kumalizika kwa mzunguko wa kwanza wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara.

Akizungumza na BINGWA jana, Msuva alisema ataendelea kufanya mazoezi ili kujiweka fiti kwa ajili ya mzunguko wa pili, kwani lengo lake ni kutaka kuisaidia timu yake kutetea ubingwa msimu huu.

Msuva alisema msimu huu ligi ni ngumu, kwani kila timu inaonekana imejipanga kupata matokeo mazuri, ili kuweza kuchukua ubingwa na kuiwakilisha nchi katika michuano ya kimataifa.

“Ligi imekuwa na ushindi na kila mmoja anafunga, hivyo mimi nawaza kuisaidia Yanga kutetea ubingwa wetu, lakini kwa suala la ufungaji bora hata sijui na haitabiriki,” alisema.

Msuva amefunga mabao saba sawa na Amis Tambwe (Yanga) na Rashid Mandawa wa Mtibwa Sugar, huku winga wa Simba, Shiza Ramadhani ‘Kichuya’ akiwa  wamefunga mabao tisa.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania...

DEWJI: CHAMA NI SIMBA HADI 2022

Kiungo huyo raia wa Zambia, aliyetoa mchangomkubwakwaSimbakufikisharobo fainaliyaLigiyaMabingwaAfrikamsimuwa 2018/19, ikiwamo kutwaa ubingwa wa LigiKuuTanzaniaBarakwa misimumitatu mfululizo, awali ilidaiwa alikuwa yupo katika hatuayamwishoyakujiunganaYanga.

Sven aruka kihunzi

NA ASHA KIGUNDULA KOCHA Mkuu wa Simba, Sven Vandenbroeck, ameruka kihunzi na kuwaachia msala nyota wake, Clatous Chama na...

Sarpong ‘aua’ shabiki Simba

Na MWANDISHI WETU, MWANZA BAO la dakika ya 29 lililofungwa na Michael Sarpong wa Yanga juzi, limesababisha kifo cha...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -