Thursday, October 22, 2020

MSUVA: NIPO TAYARI KUIPIGANIA STARS

Must Read

Wanaompenda Carlinhos wapewa dili

NA ASHA KIGUNDULA      MASHABIKI na wanachama wa Yanga, wakiwamo wale wanaovutiwa mno na uchezaji...

UKITELEZA KWISHNEI

NA ASHA KIGUNDULAMIAMBA ya soka nchini, Simba na Yanga, leo wana vibarua vigumu vya kusaka pointi zote...

Director Kenny: Harmonize alinipeleka WCB nikafanya video ya Lavalava

MWONGOZAJI bora wa video nchini, Kenned Sanga a.k.a Derector Kenny kutoka Zoom Extra, ametua   hapa Jiachie na...

NA MWAMVITA MTANDA


 

MSHAMBULIAJI wa timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars, Simon Msuva, anayechezea Difaa El Jadid ya Morocco, anatarajia kutua nchini kesho, huku akitamba kuwa yupo tayari kuipigania Tanzania kuwania tiketi ya fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (Afcon 2019).

Stars ipo kambini kujiandaa kwa mechi dhidi ya Cape Verde itakayopigwa ugenini Oktoba 12, mwaka huu, kuwania tiketi ya fainali hizo za Afcon 2019 zinazotarajiwa kuchezwa nchini Cameroon.

Akizungumza na BINGWA jana, Msuva alisema yupo tayari kupambana kwa ajili ya Taifa lake, hivyo anajitahidi kuwasili mapema ili aungane na wenzake walioingia kambini juzi chini ya Kocha Mkuu, Mnigeria Emmanuel Amunike.

“Japokuwa nipo huku (Morocoo) na kila siku nafanya mazoezi, pia natambua uimara wangu, lakini lazima niwahi kujiunga na wenzangu ili nikasikilize kocha anachotufundisha, naye ana mbinu zake, hatutaweza kufanikiwa kama tutakuwa mbali naye,” alisema Msuva.

 

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

Wanaompenda Carlinhos wapewa dili

NA ASHA KIGUNDULA      MASHABIKI na wanachama wa Yanga, wakiwamo wale wanaovutiwa mno na uchezaji...

UKITELEZA KWISHNEI

NA ASHA KIGUNDULAMIAMBA ya soka nchini, Simba na Yanga, leo wana vibarua vigumu vya kusaka pointi zote tatu katika mechi za Ligi...

Director Kenny: Harmonize alinipeleka WCB nikafanya video ya Lavalava

MWONGOZAJI bora wa video nchini, Kenned Sanga a.k.a Derector Kenny kutoka Zoom Extra, ametua   hapa Jiachie na Staa Wako, safu inayokupa nafasi...

Rogers mwanamuziki anayevutiwa na Marijani

NA JEREMIA ERNEST BONGO Star Search (BSS), ni shindano lililofanikiwa kuibua vipaji vingi vya wanamuziki wa Tanzania ambao miongoni...

Ihefu, Azam patachimbika Sokoine, Katwila ndani

NA ASHA KIGUNDULATIMU ya Ihefu inatarajia kushuka uwanjani kucheza na Azam ukiwa ni mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara  (VPL), utakaochezwa leo...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -