Tuesday, November 24, 2020

MSUVA: SIMBA WATAJUTA

Must Read

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika...

DEWJI: CHAMA NI SIMBA HADI 2022

Kiungo huyo raia wa Zambia, aliyetoa mchangomkubwakwaSimbakufikisharobo fainaliyaLigiyaMabingwaAfrikamsimuwa 2018/19, ikiwamo kutwaa ubingwa wa LigiKuuTanzaniaBarakwa misimumitatu mfululizo, awali...

NA ZAINAB IDDY

WINGA wa Yanga, Simon Msuva, amesema watani wao wa jadi Simba watajuta kuwapisha kileleni mwa Ligi Kuu Tanzania Bara.

Akizungumza na BINGWA juzi, Msuva alisema moja ya kosa walilolifanya Simba ni kuwapisha kileleni baada ya kufungwa bao 1-0 na Azam.

Msuva alisema wataendelea kukaa keleleni baada ya kuwafunga katika mchezo wao utakaochezwa Februari 25 mwaka huu kwenye Uwanja wa Taifa, jijini Dar es Salaam.

“Akili za wana-Simba ni kutaka kutufunga sisi, hili halitawezekana kutokana na malengo yetu ni kutetea ubingwa wetu.

Simba  walishafanya kosa la kuturuhusu kukaa kileleni wasipokuwa makini watakuja kujuta tutapokutana Februari 25 kwani tunajipanga kuhakikisha tunawafunga,” alisema Msuva.

Msuva alisema kikosi chao kipo vizuri na  kipana hivyo wanauhakika wa kuifunga Simba katika mchezo wao unaokuja.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania...

DEWJI: CHAMA NI SIMBA HADI 2022

Kiungo huyo raia wa Zambia, aliyetoa mchangomkubwakwaSimbakufikisharobo fainaliyaLigiyaMabingwaAfrikamsimuwa 2018/19, ikiwamo kutwaa ubingwa wa LigiKuuTanzaniaBarakwa misimumitatu mfululizo, awali ilidaiwa alikuwa yupo katika hatuayamwishoyakujiunganaYanga.

Sven aruka kihunzi

NA ASHA KIGUNDULA KOCHA Mkuu wa Simba, Sven Vandenbroeck, ameruka kihunzi na kuwaachia msala nyota wake, Clatous Chama na...

Sarpong ‘aua’ shabiki Simba

Na MWANDISHI WETU, MWANZA BAO la dakika ya 29 lililofungwa na Michael Sarpong wa Yanga juzi, limesababisha kifo cha...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -