Sunday, October 25, 2020

MCHEZAJI APIGWA RISASI UJERUMANI

Must Read

Fati aweka rekodi Barcelona

CATALUNYA, Hispania ANSU Fati ameweka rekodi ya mchezaji kinda wa kwanza kufunga mabao...

Lampard amshika mkono Silva

MANCHESTER, England KOCHA wa Chelsea, Frank Lampard, amesema atamtumia, Thiago Silva, katika mechi nyingi msimu huu licha ya...

Tuchel awatolea uvivu Mbappe, Neymar

PARIS, Ufaransa KOCHA wa PSG, Thomas Tuchel, amechukizwa na kiwango kibovu walichoonyesha mastaa wa timu hiyo, Kylian...

FRANKFURT, Ujerumani

STAA wa zamani wa Mainz 05, Marc Wachs, amepigwa risasi iliyopelekea kukimbizwa hospitali na kufanyiwa upasuaji wa haraka.

Imeelezwa kuwa katika tukio hilo, shangazi wa beki huyo ambaye kwa sasa anakipigia katika klabu ya Dynamo Dresden, alipoteza maisha.

Kwa mujibu wa taarifa, majeruhi ya nyota huyo mwenye umri wa miaka 21, hayaonekani kutishia uhai wake.

Ripoti ya polisi imesema tukio hilo lilitokea karibu na eneo la duka la shangazi yake huyo lililopo jijini Frankfurt.

Wachs hajawahi kuichezea klabu yake hiyo mpya inayoshiriki Ligi Daraja la Pili Ujerumani tangu alipojiunga nayo wakati wa majira ya kiangazi akitokea Mainz 05.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

Fati aweka rekodi Barcelona

CATALUNYA, Hispania ANSU Fati ameweka rekodi ya mchezaji kinda wa kwanza kufunga mabao...

Lampard amshika mkono Silva

MANCHESTER, England KOCHA wa Chelsea, Frank Lampard, amesema atamtumia, Thiago Silva, katika mechi nyingi msimu huu licha ya kuwa na umri wa miaka...

Tuchel awatolea uvivu Mbappe, Neymar

PARIS, Ufaransa KOCHA wa PSG, Thomas Tuchel, amechukizwa na kiwango kibovu walichoonyesha mastaa wa timu hiyo, Kylian Mbappe na Neymar, kwenye mechi...

IBRA:Kifaa kipya Konde Gang aliyetembea kwa mguu kumwinda Harmonize

NA BRIGHITER MASAKI UKITAJA vijana wanaofanya vizuri katika mziki wa bongo fleva, huwezi kukosa kumtaja msanii chipukizi anayefahamika zaidi...

Jay-Z: Mama aliingilia bifu langu na Nas

-Z: Mama aliingilia bifu langu na Nas New York, Marekani HAKUNA shabiki wa Hip hop asiyelifahamu...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -