Friday, October 30, 2020

Mtanzania kushiriki gofu Uturuki

Must Read

Hamilton avunja rekodi Ureno

LISBON, Ureno STAA wa mbio za magari Lewis Hamilton, amevunja rekodi ya Valtteri...

Ronaldinho naye ana Corona

RIO, Brazil MKONGWE wa Brazil, Ronaldinho, amethibitishwa ana virusi vya corona. Ronaldinho aliandika...

Sterling amlilia kinda wao Man City

MANCHESTER, England WINGA wa Manchester City, Raheem Sterling, ameandika ujumbe wa majonzi baada ya...

NA SHARIFA MMASI

MCHEZAJI wa gofu wa klabu ya Lugalo jijini Dar es Salaam, Tayana William, amepata mwaliko kutoka kwa Waziri wa Mambo ya Ndani wa Uturuki, Mevlut Cavusoglu, kwenda kushiriki mashindano ya wanawake ‘Ladies Open’, yatakayofanyika Februari mwakani nchini huko.

Tayana alipata mwaliko huo alipokwenda kushiriki mashindano ya dunia yaliyofikia tamati Novemba 6 mwaka huu, ambapo aliiwakilisha nchi kwa kushika nafasi ya sita kati ya nchi 61 zilizokuwa zikishiriki.

Akizungumza na BINGWA jana, Tayana alisema sababu kubwa ya kupata mwaliko huo, imetokana na kiwango kikubwa alichokionyesha katika mashindano hayo.

“Namshukuru Mungu nimerudi salama nikiwa na uhakika wa kwenda tena kwenye mashindano mengine Februari kupitia mwaliko wa Waziri wa Mambo ya Ndani, baada ya kupendezewa na kiwango changu cha uchezaji.

“Kwa muono wangu nafasi ya sita niliyoikamata ni kubwa mno kwa nchi yangu, kwani wenzetu niliokuwa nimekutana nao huko walijiandaa vya kutosha na walikwenda na timu kubwa tofauti,” alisema Tayana.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

Hamilton avunja rekodi Ureno

LISBON, Ureno STAA wa mbio za magari Lewis Hamilton, amevunja rekodi ya Valtteri...

Ronaldinho naye ana Corona

RIO, Brazil MKONGWE wa Brazil, Ronaldinho, amethibitishwa ana virusi vya corona. Ronaldinho aliandika ujumbe kupitia ukurasa wake wa...

Sterling amlilia kinda wao Man City

MANCHESTER, England WINGA wa Manchester City, Raheem Sterling, ameandika ujumbe wa majonzi baada ya kinda wa zamani wa timu...

Afua Suleiman afunguka ‘Utalijua Jiji’ ilivyompa ustaa mjini

NA JEREMIA ERNEST JINA alilopewa na wazazi wake ni Afua Suleiman na hata alipojitupa kwenye ulimwengu wa muziki wa...

Keche: Kundi maarufu Ghana linalowatamani Diamond, Kiba, Harmonize

JIACHIE na Staa Wako, wiki hii tumetua mpaka Accra, Ghana kwa kundi maarufu la muziki nchini humo, Keche linofanya vizuri na ngoma...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -