Monday, November 23, 2020

Mtoto wa Aunt Ezekiel amtoa machozi Wema

Must Read

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika...

DEWJI: CHAMA NI SIMBA HADI 2022

Kiungo huyo raia wa Zambia, aliyetoa mchangomkubwakwaSimbakufikisharobo fainaliyaLigiyaMabingwaAfrikamsimuwa 2018/19, ikiwamo kutwaa ubingwa wa LigiKuuTanzaniaBarakwa misimumitatu mfululizo, awali...
NA ZAITUNI KIBWANA,
MTOTO wa mwigizaji wa filamu za Bongo, Aunt Ezekiel, amemtoa machozi Wema Sepetu, huku mrembo huyo aliyetwaa yaji la Miss Tanzania 2006, akifunguka kuwa ipo siku na yeye ataitwa mama.
Wema ametoa kauli hiyo mwishoni mwa wiki iliyopita kwenye ukurasa wake wa Instagram baada ya kuweka picha ya rafiki yake, Aunt Ezekiel akiwa na mwanaye Cookie.
Kwenye picha hiyo, Wema aliandika: “Huyu mtoto mzuri, Mola akukuuzie Cookie wako Tiake, Dah… Iko siku na mimi Inshallah, hii picha imenitoa hadi chozi, nakuombea mammy.”
Ujumbe huo wa Wema uliwaamsha mashabiki wake ambao walishindwa kuvumilia na kuamua kuandika jumbe mbalimbali kwa lengo la kumshauri.
Mabeka Rajabu aliandika kwenye ukurasa huo akisema: “Usijali Mungu yupo nawe ipo siku atakujibu unachohitaji ukiwa na subra tu usisikitike sana.”
Naye Jenny Mboneke, aliandika kwenye ukurasa huo huo:  “Utapata tu Mungu yupo, hata Anna alizaa uzeeni, sembuse wewe binti mdogo kabisaa! Ila olewa utulie uzae mammy.”
Licha ya ujumbe huo wote, Wema hakujibu lolote na kuendelea kuweka picha za zamani akiwa na rafiki yake Aunt Ezekiel.
- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania...

DEWJI: CHAMA NI SIMBA HADI 2022

Kiungo huyo raia wa Zambia, aliyetoa mchangomkubwakwaSimbakufikisharobo fainaliyaLigiyaMabingwaAfrikamsimuwa 2018/19, ikiwamo kutwaa ubingwa wa LigiKuuTanzaniaBarakwa misimumitatu mfululizo, awali ilidaiwa alikuwa yupo katika hatuayamwishoyakujiunganaYanga.

Sven aruka kihunzi

NA ASHA KIGUNDULA KOCHA Mkuu wa Simba, Sven Vandenbroeck, ameruka kihunzi na kuwaachia msala nyota wake, Clatous Chama na...

Sarpong ‘aua’ shabiki Simba

Na MWANDISHI WETU, MWANZA BAO la dakika ya 29 lililofungwa na Michael Sarpong wa Yanga juzi, limesababisha kifo cha...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -