Friday, December 4, 2020

Mugalu atema cheche Simba

Must Read

HUJUMA NZITO YANGA

NA WINFRIDA MTOI UONGOZI wa Yanga upo katika harakati za kuhamishia mechi zao zilizobaki...

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika...

NA ASHA KIGUNDULA

MSHAMBULIAJI wa Simba, Chris Mugalu, amesema wanakwenda mkoani Rukwa kupambana na kupata ushindi katika mchezo wao wa Ligi Kuu Tanzania Bara dhidi ya Prisons utakaochezwa keshokutwa kwenye Uwanja wa Mandela, mjini Sumbawanga.

Akizungumza na BINGWA jana, Mugalu alisema anatambua mchezo huo utakuwa mgumu kutokana na ubora wa wapinzani wao hao, japo hilo haliwezi kuwazuia kupata ushindi.

“Tunajua mchezo utakuwa mgumu, wenyeji wetu watapambana, nasi tunakwenda kupambana tupate ushindi ambao utatuweka katika nafasi nzuri ya kuendelea kupigania ubingwa wetu wa ligi,” alisema Mugalu.

Aidha, Mugalu alisema kuwa anafurahi kucheza katika Ligi ya Tanzania ambao ni miongoni mwa zenye ushindani mkali unaosaidia kuwa na wachezaji wengi wazuri.

“Nimefurahia kuona ligi ina ushindani mkali, kila timu inapambana ipate matokeo, nami na wachezaji wenzangu tunaipambania timu yetu ya Simba iweze kufanya vizuri na hatimaye kutwaa ubingwa,” alisema Mugalu.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

HUJUMA NZITO YANGA

NA WINFRIDA MTOI UONGOZI wa Yanga upo katika harakati za kuhamishia mechi zao zilizobaki...

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul 'Ben Pol' ameshukuru mashabiki kwa...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania...

DEWJI: CHAMA NI SIMBA HADI 2022

Kiungo huyo raia wa Zambia, aliyetoa mchangomkubwakwaSimbakufikisharobo fainaliyaLigiyaMabingwaAfrikamsimuwa 2018/19, ikiwamo kutwaa ubingwa wa LigiKuuTanzaniaBarakwa misimumitatu mfululizo, awali ilidaiwa alikuwa yupo katika hatuayamwishoyakujiunganaYanga.

Sven aruka kihunzi

NA ASHA KIGUNDULA KOCHA Mkuu wa Simba, Sven Vandenbroeck, ameruka kihunzi na kuwaachia msala nyota wake, Clatous Chama na...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -