Thursday, October 29, 2020

Murray anusurika kichapo Austria

Must Read

Hamilton avunja rekodi Ureno

LISBON, Ureno STAA wa mbio za magari Lewis Hamilton, amevunja rekodi ya Valtteri...

Ronaldinho naye ana Corona

RIO, Brazil MKONGWE wa Brazil, Ronaldinho, amethibitishwa ana virusi vya corona. Ronaldinho aliandika...

Sterling amlilia kinda wao Man City

MANCHESTER, England WINGA wa Manchester City, Raheem Sterling, ameandika ujumbe wa majonzi baada ya...

VIENNA, Austria

MKALI wa tenisi kutoka England, Andy Murray, amenusurika kutolewa kwenye raundi ya kwanza ya michuano ya wazi ya Erste Bank katika harakati zake za kuisaka nafasi ya Novak Djokovic kwenye viwango.

Akiwa kwenye ubora wake hivi sasa, Murray alijikuta akipata changamoto kubwa kutoka kwa Mslovekia, Martin Klizan, kwenye mchezo huo uliopigwa jijini Vienna licha ya kuwa alikuwa na fomu nzuri ya kushinda seti 24.

Lakini Murray alifanikiwa kuvuka kizingiti hicho na kushinda kwa seti 6-3, 6-7 (5/7) na 6-0 ndani ya saa mbili na dakika 22 na kutinga hatua ya 16 bora ambapo atakutana na Mfaransa, Gilles Simon.

Murray alikiri kuwa amedhamiria kukamata nafasi ya kwanza kwenye viwango vya dunia kwa mara ya kwanza baada ya kufanya vizuri katika michuano ya China Open na Shanghai Masters.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

Hamilton avunja rekodi Ureno

LISBON, Ureno STAA wa mbio za magari Lewis Hamilton, amevunja rekodi ya Valtteri...

Ronaldinho naye ana Corona

RIO, Brazil MKONGWE wa Brazil, Ronaldinho, amethibitishwa ana virusi vya corona. Ronaldinho aliandika ujumbe kupitia ukurasa wake wa...

Sterling amlilia kinda wao Man City

MANCHESTER, England WINGA wa Manchester City, Raheem Sterling, ameandika ujumbe wa majonzi baada ya kinda wa zamani wa timu...

Afua Suleiman afunguka ‘Utalijua Jiji’ ilivyompa ustaa mjini

NA JEREMIA ERNEST JINA alilopewa na wazazi wake ni Afua Suleiman na hata alipojitupa kwenye ulimwengu wa muziki wa...

Keche: Kundi maarufu Ghana linalowatamani Diamond, Kiba, Harmonize

JIACHIE na Staa Wako, wiki hii tumetua mpaka Accra, Ghana kwa kundi maarufu la muziki nchini humo, Keche linofanya vizuri na ngoma...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -