Friday, October 30, 2020

Mwadui yahaha kumpata mrithi wa Julio

Must Read

Hamilton avunja rekodi Ureno

LISBON, Ureno STAA wa mbio za magari Lewis Hamilton, amevunja rekodi ya Valtteri...

Ronaldinho naye ana Corona

RIO, Brazil MKONGWE wa Brazil, Ronaldinho, amethibitishwa ana virusi vya corona. Ronaldinho aliandika...

Sterling amlilia kinda wao Man City

MANCHESTER, England WINGA wa Manchester City, Raheem Sterling, ameandika ujumbe wa majonzi baada ya...

NA WINFRIDA MTOI

UONGOZI  wa Mwadui unahaha kumpata mrithi wa kocha mkuu wa timu  yao, baada ya Jamhuri Kihwelo ‘Julio’  kuachia ngazi kwa madai ya kuchoshwa na uamuzi mbaya wa waamuzi wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara.

Akizungumza na BINGWA jana,  kiongozi mmoja wa Mwadui ambaye hakutaka jina lake liandikwe gazetini,  alisema baada ya Julio kuachia ngazi walianza kufanya mazungumzo na kocha wa Mtibwa Sugar, Salum Mayanga, lakini amekuwa akiwapiga chenga.

Kiongozi huyo alisema Mayanga hakuonyesha nia ya kusaini mkataba wa kuifundisha timu hiyo, kwani amekuwa akiwapiga kalenda.

“Tumezungumza na Mayanga kila kitu na kutuahidi anakuja lakini siku zinazidi kwenda na hakuna mrejesho wowote na anatuambia anakuja hatokei, tumeona bora kutafuta  kocha mwingine na tumeamua kwenda Zanzibar.”

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

Hamilton avunja rekodi Ureno

LISBON, Ureno STAA wa mbio za magari Lewis Hamilton, amevunja rekodi ya Valtteri...

Ronaldinho naye ana Corona

RIO, Brazil MKONGWE wa Brazil, Ronaldinho, amethibitishwa ana virusi vya corona. Ronaldinho aliandika ujumbe kupitia ukurasa wake wa...

Sterling amlilia kinda wao Man City

MANCHESTER, England WINGA wa Manchester City, Raheem Sterling, ameandika ujumbe wa majonzi baada ya kinda wa zamani wa timu...

Afua Suleiman afunguka ‘Utalijua Jiji’ ilivyompa ustaa mjini

NA JEREMIA ERNEST JINA alilopewa na wazazi wake ni Afua Suleiman na hata alipojitupa kwenye ulimwengu wa muziki wa...

Keche: Kundi maarufu Ghana linalowatamani Diamond, Kiba, Harmonize

JIACHIE na Staa Wako, wiki hii tumetua mpaka Accra, Ghana kwa kundi maarufu la muziki nchini humo, Keche linofanya vizuri na ngoma...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -