Monday, October 26, 2020

MWAKYEMBE AWAANGUKIA WADAU KUCHANGIA GHARAMA MAANDALIZI MECHI YA LESOTHO

Must Read

Fati aweka rekodi Barcelona

CATALUNYA, Hispania ANSU Fati ameweka rekodi ya mchezaji kinda wa kwanza kufunga mabao...

Lampard amshika mkono Silva

MANCHESTER, England KOCHA wa Chelsea, Frank Lampard, amesema atamtumia, Thiago Silva, katika mechi nyingi msimu huu licha ya...

Tuchel awatolea uvivu Mbappe, Neymar

PARIS, Ufaransa KOCHA wa PSG, Thomas Tuchel, amechukizwa na kiwango kibovu walichoonyesha mastaa wa timu hiyo, Kylian...

LULU RINGO, DAR ES SALAAM

Waziri wa Habari, Sanaa Utamaduni na Michezo, Dk. Harrison Mwakyembe, ametangaza gharama zinazohitajika kuwezesha Timu ya Taifa (Taifa Stars) kuelekea Lesotho katika mchezo wa marudiano ya kufuzu mashindano ya kombe la Mataifa Afrika (Afcon) zitakazofanyika nchini Cameroon mwakani.

Dk. Mwakyembe amesema gharama hizo zimekuwa kubwa tofuti na ilivyopangwa awali kutoka na mipango ya kuweka kambi Afrika Kusini wiki moja kabla ya mchezo.

Amesema Stars inatarajia kuweka kambi sehemu ambayo ni jirani na Lesotho ili kuweza kuendana na hali ya hewa ya nchini humo ambayo ni baridi tafouti na hali ya hewa ya Dar es Salaam.

“Uamuzi huu unaongeza gharama ya maandalizi kutoka Sh milioni180.8 hadi milioni 354.7, kama Shirikisho la Soka (TFF) lingesema linasafirisha timu moja kwa moja ina maana gharama ingetumika ile ya kwanza,” amesema Dk. Mwakyembe.

Kutokana na gharama hizo kuwa kubwa Waziri Mwakyembe amewaomba wadau wa soka nchini kuichangia Stars ili waweze kusafiri kama mikakati ilivyopangwa.

“Gharama iliyoongezeka ni kubwa, sina budi kuja kwenu wadau wa soka, inabidi tuchangishane wote, mchezo unaotukabili ni wakufa na kupona, tukishinda tunajiwekea mazingira magumu ya kufuzu,” amesema DK. Mwakyembe.

 

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

Fati aweka rekodi Barcelona

CATALUNYA, Hispania ANSU Fati ameweka rekodi ya mchezaji kinda wa kwanza kufunga mabao...

Lampard amshika mkono Silva

MANCHESTER, England KOCHA wa Chelsea, Frank Lampard, amesema atamtumia, Thiago Silva, katika mechi nyingi msimu huu licha ya kuwa na umri wa miaka...

Tuchel awatolea uvivu Mbappe, Neymar

PARIS, Ufaransa KOCHA wa PSG, Thomas Tuchel, amechukizwa na kiwango kibovu walichoonyesha mastaa wa timu hiyo, Kylian Mbappe na Neymar, kwenye mechi...

IBRA:Kifaa kipya Konde Gang aliyetembea kwa mguu kumwinda Harmonize

NA BRIGHITER MASAKI UKITAJA vijana wanaofanya vizuri katika mziki wa bongo fleva, huwezi kukosa kumtaja msanii chipukizi anayefahamika zaidi...

Jay-Z: Mama aliingilia bifu langu na Nas

-Z: Mama aliingilia bifu langu na Nas New York, Marekani HAKUNA shabiki wa Hip hop asiyelifahamu...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -