Monday, November 30, 2020

MWANJALI AREJEA UWANJANI MDOGO MDOGO

Must Read

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika...

DEWJI: CHAMA NI SIMBA HADI 2022

Kiungo huyo raia wa Zambia, aliyetoa mchangomkubwakwaSimbakufikisharobo fainaliyaLigiyaMabingwaAfrikamsimuwa 2018/19, ikiwamo kutwaa ubingwa wa LigiKuuTanzaniaBarakwa misimumitatu mfululizo, awali...

NA SAADA SALIM

BEKI wa Simba raia wa Zimbabwe, Method Mwanjali, ameanza kurejea uwanjani mdogo mdogo, baada ya kuanza mazoezi maalumu kujiandaa na mechi zilizosalia za Ligi Kuu Tanzania Bara.

Mwanjali aliumia goti katika mchezo wa Kombe la Shirikisho (FA) dhidi ya Tanzania Prisons uliochezwa Februari 11 mwaka huu, Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.

Akizungumza na BINGWA jijini jana, Daktari wa Simba, Yassin Gembe, alisema beki huyo ameanza mazoezi mepesi.

Gembe alisema kwa sasa amepewa programu maalumu ya mazoezi ya viungo ‘gym’ kwa muda wa wiki mbili.

Alisema tayari amemaliza siku saba za kwanza bado nyingine saba na akimaliza atarudi hospitali kwa uchunguzi kabla ya kuanza mazoezi na wenzake.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania...

DEWJI: CHAMA NI SIMBA HADI 2022

Kiungo huyo raia wa Zambia, aliyetoa mchangomkubwakwaSimbakufikisharobo fainaliyaLigiyaMabingwaAfrikamsimuwa 2018/19, ikiwamo kutwaa ubingwa wa LigiKuuTanzaniaBarakwa misimumitatu mfululizo, awali ilidaiwa alikuwa yupo katika hatuayamwishoyakujiunganaYanga.

Sven aruka kihunzi

NA ASHA KIGUNDULA KOCHA Mkuu wa Simba, Sven Vandenbroeck, ameruka kihunzi na kuwaachia msala nyota wake, Clatous Chama na...

Sarpong ‘aua’ shabiki Simba

Na MWANDISHI WETU, MWANZA BAO la dakika ya 29 lililofungwa na Michael Sarpong wa Yanga juzi, limesababisha kifo cha...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -