Wednesday, November 25, 2020

MWANJALI RASMI KUWAVAA YANGA

Must Read

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika...

DEWJI: CHAMA NI SIMBA HADI 2022

Kiungo huyo raia wa Zambia, aliyetoa mchangomkubwakwaSimbakufikisharobo fainaliyaLigiyaMabingwaAfrikamsimuwa 2018/19, ikiwamo kutwaa ubingwa wa LigiKuuTanzaniaBarakwa misimumitatu mfululizo, awali...

NA SAADA SALIM,

KAMA kuna shabiki wa Yanga alikuwa anadhani beki wa Simba, Method Mwanjali, atakosekana katika mpambano wa mwishoni mwa wiki hii, imekula kwake kwani Mzimbabwe huyo yuko fiti na tayari ametua kambini huko Unguja.

Mwanjale ambaye ni beki tishio, alipata majeraha katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara dhidi ya Tanzania Prisons uliochezwa Uwanja wa Taifa, jijini Dar es Salaam na kuzua hofu kuwa huenda angewakosa Yanga.

Hata hivyo, taarifa njema kwa mashabiki wa Simba ni kwamba beki huyo kisiki ameshajiunga na wenzake jana huko Unguja tayari kwa mpambano huo unaotarajiwa kuwa wa kukata na shoka kwani kila timu itahitaji kushinda ili kuondoka na pointi zote tatu.

Mwanjali ameliambia BINGWA kwamba yuko tayari kwa mapambano huku akiwahakikishia mashabiki wa Simba kuwa kwa jinsi hali ilivyo ni wazi kuwa wataondoka na pointi zote tatu na kuzidi kujikita kileleni mwa msimamo.

“Mimi hali yangu ni nzuri kabisa na kuhusu huo mchezo tunawataka mashabiki wetu wala wasiwe na wasiwasi wowote na wajitokeze kwa wingi siku hiyo kwani tunachotarajia ni kuwapa raha.

“Najua kwamba hautakuwa mchezo rahisi ila maandalizi yetu yanatupa jeuri ya kusema kwamba tutaondoka na pointi zote tatu na kuzidi kujikita kileleni ikizingatiwa kuwa kila mmoja ana hamu ya kuiona timu ikitwaa ubingwa msimu huu,” alisema.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania...

DEWJI: CHAMA NI SIMBA HADI 2022

Kiungo huyo raia wa Zambia, aliyetoa mchangomkubwakwaSimbakufikisharobo fainaliyaLigiyaMabingwaAfrikamsimuwa 2018/19, ikiwamo kutwaa ubingwa wa LigiKuuTanzaniaBarakwa misimumitatu mfululizo, awali ilidaiwa alikuwa yupo katika hatuayamwishoyakujiunganaYanga.

Sven aruka kihunzi

NA ASHA KIGUNDULA KOCHA Mkuu wa Simba, Sven Vandenbroeck, ameruka kihunzi na kuwaachia msala nyota wake, Clatous Chama na...

Sarpong ‘aua’ shabiki Simba

Na MWANDISHI WETU, MWANZA BAO la dakika ya 29 lililofungwa na Michael Sarpong wa Yanga juzi, limesababisha kifo cha...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -