Friday, October 30, 2020

NADAL ATEMWA KIKOSI CHA HISPANIA

Must Read

Hamilton avunja rekodi Ureno

LISBON, Ureno STAA wa mbio za magari Lewis Hamilton, amevunja rekodi ya Valtteri...

Ronaldinho naye ana Corona

RIO, Brazil MKONGWE wa Brazil, Ronaldinho, amethibitishwa ana virusi vya corona. Ronaldinho aliandika...

Sterling amlilia kinda wao Man City

MANCHESTER, England WINGA wa Manchester City, Raheem Sterling, ameandika ujumbe wa majonzi baada ya...

MADRID, Hispania


MKALI wa tenisi, Rafael Nadal, ameachwa nje ya kikosi cha Hispania kitakachochuana na Croatia kwenye mchezo wa mzunguko wa kwanza wa Kombe la Dunia la tenisi, wikiendi hii kutokana na uchovu.

Nadal anayekamata nafasi ya sita kwa viwango vya mchezo huo duniani, alipoteza fainali ya Australian Open wikiendi iliyopita dhidi ya mpinzani wake wa zamani, Roger Federer.

“Rafa ana matatizo ya goti ambayo mara nyingi huamka kutokana na umri wake, anahitaji muda wa kupumzika na nina imani ataungana nasi mzunguko utakaofuata,” alisema nahodha wa Hispania, Conchita Martinez.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

Hamilton avunja rekodi Ureno

LISBON, Ureno STAA wa mbio za magari Lewis Hamilton, amevunja rekodi ya Valtteri...

Ronaldinho naye ana Corona

RIO, Brazil MKONGWE wa Brazil, Ronaldinho, amethibitishwa ana virusi vya corona. Ronaldinho aliandika ujumbe kupitia ukurasa wake wa...

Sterling amlilia kinda wao Man City

MANCHESTER, England WINGA wa Manchester City, Raheem Sterling, ameandika ujumbe wa majonzi baada ya kinda wa zamani wa timu...

Afua Suleiman afunguka ‘Utalijua Jiji’ ilivyompa ustaa mjini

NA JEREMIA ERNEST JINA alilopewa na wazazi wake ni Afua Suleiman na hata alipojitupa kwenye ulimwengu wa muziki wa...

Keche: Kundi maarufu Ghana linalowatamani Diamond, Kiba, Harmonize

JIACHIE na Staa Wako, wiki hii tumetua mpaka Accra, Ghana kwa kundi maarufu la muziki nchini humo, Keche linofanya vizuri na ngoma...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -