Friday, November 27, 2020

Nahodha Kagera aionya Yanga

Must Read

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika...

DEWJI: CHAMA NI SIMBA HADI 2022

Kiungo huyo raia wa Zambia, aliyetoa mchangomkubwakwaSimbakufikisharobo fainaliyaLigiyaMabingwaAfrikamsimuwa 2018/19, ikiwamo kutwaa ubingwa wa LigiKuuTanzaniaBarakwa misimumitatu mfululizo, awali...

NA MARTIN MAZUGWA,

NAHODHA wa Kagera Sugar, George Kavila, ameionya Yanga kuwa isitarajie kupata ushindi leo wakati timu hizo zitakapoumana kwenye Uwanja wa Kaitaba, Bukoba.

Mkongwe huyo ameliambia BINGWA  kuwa kikosi chao kimefanya maandalizi  ya kina kuelekea mchezo huo kwa lengo la kuhakikisha kinavuna pointi tatu.

“Naamini utakuwa mchezo mgumu zaidi kwetu maana tunacheza na moja kati ya timu bora ambayo ni bingwa mtetezi wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara.

“Hata hivyo, nataka niwaambie Yanga kwamba wasiingie uwanjani na matokeo mkononi kwamba watashinda kwani tumejipanga kuhakikisha tunaondoka na pointi tatu kwenye uwanja wetu,” alisema.

Kavila alisema lengo lao ni kuhakikisha wanashinda mchezo huo ili kuwafurahisha mashabiki wao kama njia ya pekee ya kuwashawishi waendelee kuwaunga mkono.

“Kocha ameyafanyia kazi mapungufu  yaliyojitokeza kwenye  michezo iliyopita  kilichobaki ni kwetu sisi wachezaji kufanyia kazi maelekezo yake uwanjani,” alisema.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania...

DEWJI: CHAMA NI SIMBA HADI 2022

Kiungo huyo raia wa Zambia, aliyetoa mchangomkubwakwaSimbakufikisharobo fainaliyaLigiyaMabingwaAfrikamsimuwa 2018/19, ikiwamo kutwaa ubingwa wa LigiKuuTanzaniaBarakwa misimumitatu mfululizo, awali ilidaiwa alikuwa yupo katika hatuayamwishoyakujiunganaYanga.

Sven aruka kihunzi

NA ASHA KIGUNDULA KOCHA Mkuu wa Simba, Sven Vandenbroeck, ameruka kihunzi na kuwaachia msala nyota wake, Clatous Chama na...

Sarpong ‘aua’ shabiki Simba

Na MWANDISHI WETU, MWANZA BAO la dakika ya 29 lililofungwa na Michael Sarpong wa Yanga juzi, limesababisha kifo cha...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -