Wednesday, September 30, 2020

Namungo FC: Tunalitaka Kombe la Shirikisho

Must Read

KISA KONA YA CARLINHOS… ...

NA ZAINAB IDDY BAO la Yanga lililofungwa na Lamine Moro juzi katika mchezo dhidi...

HUYU MUGALU ATAWALAZA WATU NA VIATU TU!

NA ONESMO KAPINGA HAKIKA sijapata utamu wa mshambuliaji mpya wa Simba, raia wa DR...

Wachezaji Gwambina wapewa muda

NA ZAINAB IDDY KOCHA wa timu wa  Gwambina, Fulgence Novatus, amesema amewapa muda wachezaji wake ...

NA MWANDISHI WETU

UONGOZI wa timu ya Namungo FC, umesema kuwa watapambana kila wanavyoweza kuhakikisha wanatwaa ubingwa wa Kombe la Shirikisho la Azam Sports (ASFC) msimu huu.

Namungo inatarajiwa kucheza fainali ya ASFC dhidi ya Simba, Agosti 2, mwaka huu kwenye Uwanja wa Nelson Mandela, mjini Sumbawanga, Rukwa.

Akizungumza na BINGWA jana, Mwenyekiti wa timu hiyo, Hassan Zidadu, alisema kuwa wamekamilisha suala la kumaliza Ligi Kuu Bara katika nafasi tano za juu, kilichosalia ni kutwaa kombe  la ASFC.

“Msimu wa kwanza wa Ligi Kuu kwa Namungo umekuwa na mafanikio makubwa sana kwa swababu yale yote tuliyoyapanga, yametimia na kupata faida nyingine ya kuiwakilisha nchi kimataifa.

“Ingawa tayari tuna nafasi ya kushiriki kimataifa, lakini kwetu haitoweza kuwa nzuri kama hatutachukua kombe la FA, hatutaki kwenda kucheza kimataifa kwa kubebwa na Simba, hivyo lazima kulipate kombe na hapo ndipo tutakapoona tumeifanyia kazi nafasi tuliyoipata,” alisema.

Namungo wanakutana na Simba katika mechi ya fainali baada ya kuwaondoa Sahare All Stars ya Tanga kwa kuwafunga bao 1-0, wakati Simba wao wakiwafungasha virago Yanga kwa kuwachapa mabao 4-1.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

KISA KONA YA CARLINHOS… ...

NA ZAINAB IDDY BAO la Yanga lililofungwa na Lamine Moro juzi katika mchezo dhidi...

HUYU MUGALU ATAWALAZA WATU NA VIATU TU!

NA ONESMO KAPINGA HAKIKA sijapata utamu wa mshambuliaji mpya wa Simba, raia wa DR Congo, Chris Mugalu,kutokana na jinsi...

Wachezaji Gwambina wapewa muda

NA ZAINAB IDDY KOCHA wa timu wa  Gwambina, Fulgence Novatus, amesema amewapa muda wachezaji wake  ili aweze kutathimini kiwango cha...

Kisu amfunika vibaya Manula

NA ZAINAB IDDY KIPA  wa timu ya Azam, David Kisu, amemfunika Aishi Manula  wa Simba kutokana na kutoruhusu...

Zahera awapa Simba taji mapema

NA ZAINAB IDDY BAADA ya Gwambina kufungwa mabao 3-0 na Simba  katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -