Wednesday, October 21, 2020

Nandy humwambii kitu kwa Mwasiti

Must Read

Director Kenny: Harmonize alinipeleka WCB nikafanya video ya Lavalava

MWONGOZAJI bora wa video nchini, Kenned Sanga a.k.a Derector Kenny kutoka Zoom Extra, ametua   hapa Jiachie na...

Rogers mwanamuziki anayevutiwa na Marijani

NA JEREMIA ERNEST BONGO Star Search (BSS), ni shindano lililofanikiwa kuibua vipaji vingi vya...

Ihefu, Azam patachimbika Sokoine, Katwila ndani

NA ASHA KIGUNDULATIMU ya Ihefu inatarajia kushuka uwanjani kucheza na Azam ukiwa ni mchezo wa Ligi Kuu...

NA BEATRICE KAIZA,

BAADA ya kufanya kava ya Nalivua Pendo wimbo ulioimbwa na msanii Mwasiti miaka kadhaa iliyopita, staa wa singo ya Nagusa gusa, Faustina Mfinanga ‘Nandy’, amesema yeye ni shabiki namba moja wa mwanamuziki huyo.

Nady ambaye aliwahi kuiwakilisha vyema Tanzania kwenye shindano ya Tecno Own The Stage, ameliambia Papaso la Burudani kuwa ameamua kufanya kava ya wimbo huo wenye vionjo vya wimbo wa King Kikii, Kitambaa Cheupe ili kuonyesha heshima yake kwa Mwasiti.

“Mwasiti ni msanii mzuri na ndiye aliyenishawishi nifanye Bongo Fleva, ananipa ushauri wa mambo mbalimbali kwenye muziki hasa kufanya kazi kwa bidii ndiyo maana kwa heshima yake nikaamua niurudie wimbo wa Nalivua Pendo kwa heshima yake kwa kuwa mimi pia naupenda,” alisema Nandy.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

Director Kenny: Harmonize alinipeleka WCB nikafanya video ya Lavalava

MWONGOZAJI bora wa video nchini, Kenned Sanga a.k.a Derector Kenny kutoka Zoom Extra, ametua   hapa Jiachie na...

Rogers mwanamuziki anayevutiwa na Marijani

NA JEREMIA ERNEST BONGO Star Search (BSS), ni shindano lililofanikiwa kuibua vipaji vingi vya wanamuziki wa Tanzania ambao miongoni...

Ihefu, Azam patachimbika Sokoine, Katwila ndani

NA ASHA KIGUNDULATIMU ya Ihefu inatarajia kushuka uwanjani kucheza na Azam ukiwa ni mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara  (VPL), utakaochezwa leo...

Mugalu atema cheche Simba

NA ASHA KIGUNDULA MSHAMBULIAJI wa Simba, Chris Mugalu, amesema wanakwenda mkoani Rukwa kupambana na kupata ushindi katika mchezo wao...

Malale aitisha Yanga

NA ZAINAB IDDY KOCHA Mkuu wa timu ya Polisi Tanzania, Malale Hamsini, amezisikia sifa za kocha mpya wa Yanga,...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -